nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Mkuu kaniambia nijitahidi ni malizane naoWaambie unaongea kama supervisor wao na sio wewe kama wewe waambie wewe upo hapo kama OFISI so wachape kazi
wakizid basi consult na MKUU wenu
Na wale wa kiume? Je?Ongea na mkuu wako awaongezee posho na mshahara utaona mabadiliko
Asilimia kubwa ya hapo wafanyakazi ni single maza ambao mashahara hautoshi so ili kuinua hali na mwemko wa Kazi waongezeeni pesa
Hiyo huitwa (Incentives ) marupu rupu
Na wale wa kiume? Je?
Fanya mmoja wa mfano juu ya vile unavyosema au amua divide and rule tafuta wachache wafanye marafiki kwa vijizawadi halafu support unapata nguvu ya kuwanyoosha wengine huku unauhakika hata wakisiusa hawa wengine watafanya kazi zakoKiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo wananidharau.
Naomba ushauri je hali kama hii naikabili vip, nimeita adi vikao kadhaa lakini mahudhurio lengo niwape misimimamo yangu kama msimamizi mkuu.
katika jamii tabia ya kuchukuliana poa Sijapenda kabisa. wanasema kua walikuepo kama mimi kwa hiyo nisijifanye mjuaji. dah.
Kuna Sehemu wako wanaume tupu. Hadi nlishangaa.Hizi Kazi za usafi 90% hufanywa na wanawake huku Tz.
Basi kama bamna sheria za kazi zitungwe na kila mtu azijueMkuu kaniambia nijitahidi ni malizane nao
Mkuu kuna uzi kule wa kujifunza uchawi walikua wanakuita....Wagombanishe wao kwa wao.