Sister Fey dish limeyumba na anahitaji msaada? Wako wapi ndugu zake?

Nikiwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani, kwa Mamlaka niliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.. Naamuru km sio kuagiza.. Ndani ya masaa24..Huyu Dada na kijana wake. Wote kwa pamoja. Ama kwa hiari yao wenyewa. Ama Vinginevyo. Wafungwe kamba mara moja na kupelekwa kwa Mkemia Mkuu rasmi kwa kuchukuliwa vipimo ili hatua zingine ama za kupelekwa Hosp ya Milembe ama Muhimbili kwa Matibabu zaid ili zifuatwe...

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama siomzima wa akili
Hakika
Screenshot_2018-08-27-09-12-00.jpg

Back
Top Bottom