AiseeeWew unapimaga madishi?Mbona lako limeanguka hatusemi...
Mwenzio hiyo ndo kazi yake wew unapata wivu...(kuwa makini wanaume hawako namna hii)
HahahahaMimi naona wanaomfollow ndo dish zao zimeyumba sana hata TBC haionyeshi
HakikaNikiwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani, kwa Mamlaka niliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.. Naamuru km sio kuagiza.. Ndani ya masaa24..Huyu Dada na kijana wake. Wote kwa pamoja. Ama kwa hiari yao wenyewa. Ama Vinginevyo. Wafungwe kamba mara moja na kupelekwa kwa Mkemia Mkuu rasmi kwa kuchukuliwa vipimo ili hatua zingine ama za kupelekwa Hosp ya Milembe ama Muhimbili kwa Matibabu zaid ili zifuatwe...
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app