Aisee mimi nafikiri anaumwaMe nafikiri ni ugumu wa maisha tu mtu anajitoa ufahamu, hii ni ile nitoke vipi mtu ndo anaamua atoke kwa style hiyo ni ujinga wa makusudi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...Ila honly star namuonea wivu jamaa kamapata jimama linamfanyia kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawana access na hii mitandao ya kijamii!Itakua wapo vijijini huko