ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
SISTER P FT. UNIQUE SISTERS "NIMERUDI TENA"
""Nimerudi Tena nina maana katika fani/ nataka kukumbuka Enzi zangu za zamani/ niliposhika mic watu walinipenda/ nikawa kimya kidogo watu wakaponda/ sasa nina rudi Tena kuwakirisha watoto kaa pembeni/ nina waombea picha/ niliwapa muda mkashindwa kutumia/ mwenyewe ninakuja sasa naomba njia/ wananiita sister P wananiita Chemical/ wananiita mtoto wa milembe/ mimi sina shida/ ndo maana kwenye fani/ unaona sina papara/ niimbe nisiimbe jina langu bado linang'ara/ sarut popote ni endapo mi nakimbiza/ mimi najulikana kwa mwangani mpaka kwa ngiza/ jiulize utajulikana ngizani bila mwanga/..
Endelea..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
#funguka
Je? Ni ngoma zipi una penda kutoka kwa female Raper 'sister p"
Kwa upande wangu.
1. Twende Club ft nurueli
2. Dj
3. Achana nao ft mad brain & aly choki
4. Na mkali
5. Nimerudi tena ft. Unique Sisters..