Sister P A.K.A Chemical - Nimerudi tena & Unique Sisters

Sister P A.K.A Chemical - Nimerudi tena & Unique Sisters

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
1732302614092.jpg

SISTER P FT. UNIQUE SISTERS "NIMERUDI TENA"

""Nimerudi Tena nina maana katika fani/ nataka kukumbuka Enzi zangu za zamani/ niliposhika mic watu walinipenda/ nikawa kimya kidogo watu wakaponda/ sasa nina rudi Tena kuwakirisha watoto kaa pembeni/ nina waombea picha/ niliwapa muda mkashindwa kutumia/ mwenyewe ninakuja sasa naomba njia/ wananiita sister P wananiita Chemical/ wananiita mtoto wa milembe/ mimi sina shida/ ndo maana kwenye fani/ unaona sina papara/ niimbe nisiimbe jina langu bado linang'ara/ sarut popote ni endapo mi nakimbiza/ mimi najulikana kwa mwangani mpaka kwa ngiza/ jiulize utajulikana ngizani bila mwanga/..

Endelea..

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

#funguka

Je? Ni ngoma zipi una penda kutoka kwa female Raper 'sister p"
Kwa upande wangu.

1. Twende Club ft nurueli
2. Dj
3. Achana nao ft mad brain & aly choki
4. Na mkali
5. Nimerudi tena ft. Unique Sisters..
 
Umri umeshamtupa mkono ni muda muafaka wa kutulia na kulea wajukuu
 
Sister P hana baya, yupo real sana

Tunamshukuru kwa mchango wake katika kuiheshimisha Hiphop ya Bongo

Inabidi siku aingie pale kwa Kuvichaka Jabir Salehe kisha atupe historia ya mziki wetu na hustling zao jinsi zilivyokuwa enzi hizo hasa kwa upande wa Female MC's

Mungu ambariki sana🙏🏿
 
Huu wimbi uwa nausikiliza ila simuelewi kwann anajiita Chemical wakati kuna rappa anajiita ilo jina.
 
Back
Top Bottom