Sister Theodore na Watoto tujifunze kupitia Mathayo 7:9-11

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Wakuu Biblia inatuambia kupitia maneno ya Bwana Yesu kwenye Mathayo 7:9-11 kwamba

9 Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?

10 Au akiomba samaki, atampa nyoka?

11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wao wamwombao?

Sasa Sister yeye anafundisha mwanao akitaka Samaki mpe Nyoka au akitaka Mkate mpe Jiwe.
 
Ana maanisha uwe na roho mbaya!
 
Huyu hana mpango wa kusaidia,maana Wazazi tunapaswa tuwape watoto wetu na Jamaa zetu kila wanachotaka!Sasa huyo anayesema Samaki unampa Nyoka si uchoyo huo?!!
Ndio anasema usimpe anachotaka sababu hatofanikiwa maishani km ukimpa kila anachotaka kwa hio akiomba mkate mpe jiwe
 
Mleta uzi sister Theodore ndio nani tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom