Ana maanisha uwe na roho mbaya!Wakuu Biblia inatuambia kupitia maneno ya Bwana Yesu kwenye Mathayo 7:9-11 kwamba
9 Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?
10 Au akiomba samaki, atampa nyoka?
11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wao wamwombao?
Sasa Sister yeye anafundisha mwanao akitaka Samaki mpe Nyoka au akitaka Mkate mpe Jiwe.
Huyu hana mpango wa kusaidia,maana Wazazi tunapaswa tuwape watoto wetu na Jamaa zetu kila wanachotaka!Sasa huyo anayesema Samaki unampa Nyoka si uchoyo huo?!!Ili iweje?
Ndio anasema usimpe anachotaka sababu hatofanikiwa maishani km ukimpa kila anachotaka kwa hio akiomba mkate mpe jiweHuyu hana mpango wa kusaidia,maana Wazazi tunapaswa tuwape watoto wetu na Jamaa zetu kila wanachotaka!Sasa huyo anayesema Samaki unampa Nyoka si uchoyo huo?!!