Sisu ni moja Movie Bora 2023

Sisu ni moja Movie Bora 2023

 
Kaangalieni EXTRACTION 2 mtaona watu wanaojua kutengeneza movie sio iyo SISU
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    152.6 KB · Views: 3
Mtu alishakufa afu anafufukaje?
Wewe mule umeona amefufuka? Hujaona process aliyopitia mpaka kupona? Kwa hiyo ni bora uone mtu anadandia ndege kwa sururu anagonga gonga lile bati linapasuka then anaingia ndani ya ndege🤣🤣

Huo utoto kaangalie nyie
 
Mkuu ya Extraction uifananishe na Sisu tena kwa movie ambayo hata kwa The Covenant haigusi.
Hizo movie za kimarekani huwa wanazipatia airtime na promo nyingi mno ili zisemwe sana ila sisu kazibaka mdogo mdogo bila promo....leo ukiweka hapo sisu na extraction ipi movie nitakayo iangalia zaidi ya mara moja, nitairudia sisu zaidi ata ya mara kumi, extraction niliiona mara moja tu nikaachana nayo.
 
Back
Top Bottom