PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Ni movie mzuri inafaa muangalia na watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John Wick 4 ni takatakaDirector ndio yule yule wa Nobody, na John Wick.
Point of correction Sir [emoji137] it's EXTRACTION 2Kaangalieni ECTRACTION 2 mtaona watu wanaojua kutengeneza movie sio iyo SISU
Ahsante. Writing errorsPoint of correction Sir [emoji137] it's EXTRACTION 2
inaikaribia sisu ila bado, Labda tusubilie Extraction 4.Kaangalieni EXTRACTION 2 mtaona watu wanaojua kutengeneza movie sio iyo SISU
Siyo watoto tu, kumbuka familia nzima hadi ukweni...😅😅😅Ni movie mzuri inafaa muangalia na watoto
Hii movie nimeipenda na uongo wake, huwa sipendi movie za mapenzi mapenzi na kulia kulia. Hii imetimiza haja yangu 💪
Mtu alishakufa afu anafufukaje?Kaangalieni EXTRACTION 2 mtaona watu wanaojua kutengeneza movie sio iyo SISU
Chap, kama kipanga niicheki netnaija.....🏃🏃View attachment 2714421
Tafuta hii movie ndugu yangu naona wewe unafanana na Mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "Mambo ya kudandia ndege na sururu ni utoto wa zamani"Nimeitazama kwenye public sinema sijaipenda. Mtu hawezi nyongwa dakika zote zile asife. Halafu mambo ya kudandia ndege na sururu ni utoto wa zamani.
Wewe mule umeona amefufuka? Hujaona process aliyopitia mpaka kupona? Kwa hiyo ni bora uone mtu anadandia ndege kwa sururu anagonga gonga lile bati linapasuka then anaingia ndani ya ndege🤣🤣Mtu alishakufa afu anafufukaje?
Mkuu ya Extraction uifananishe na Sisu tena kwa movie ambayo hata kwa The Covenant haigusi.inaikaribia sisu ila bado, Labda tusubilie Extraction 4.
Hizo movie za kimarekani huwa wanazipatia airtime na promo nyingi mno ili zisemwe sana ila sisu kazibaka mdogo mdogo bila promo....leo ukiweka hapo sisu na extraction ipi movie nitakayo iangalia zaidi ya mara moja, nitairudia sisu zaidi ata ya mara kumi, extraction niliiona mara moja tu nikaachana nayo.Mkuu ya Extraction uifananishe na Sisu tena kwa movie ambayo hata kwa The Covenant haigusi.