Sisu ni moja Movie Bora 2023

Sisu ni moja Movie Bora 2023

Unajua movie za namna hii yaani Block Busters za Badass Guy au kwa kiswahili zinaitwa Jeshi la mtu m'moja huwa zinataka kuzingatia sana technicalities za uhalisia kwa miaka hii.

One thing is hauwezi kufake reality sababu kuna kanuni za asili za kifizikia lazima uziheshimu katika kutengeneza scenes za movie yako ziwe na uwiano wa ukweli na uhalisia.

Mimi nitakupa aina za movies za Bad Ass Guy au Jeshi la mtu m'moja ambazo zitaendelea kubakia kuwa 9/10 katika scale ya kurespect na kureflect reality.

1. NO BODY
2. Operation Fortune Ruse De Guerre
3. Katafute zile za Rambo(one hadi hii six nadhani)
4. Extraction
5. The Equalizer

Hizi ni chache tu, ni movie ambazo wameugeuza uongo kuwa ukweli kisayansi kwa kutengeneza mbinu za kijajusi kuweza kukushawishi kuwa mtu m'moja aliyezungukwa na kundi la maadui anafanikiwa kuwachakaza na kuondoka mzima. Cha zaidi wanakupa true definition ya komando hatari.

Sasa wewe unakuja na Sisu hapa unasema ndio movie hatari, hatari ya wapi wakati ni bongo movie iliyochangamka, ndio maana siku hizi movie za hovyo sana kwenye eneo la action ndizo zinapewa tuzo sababu ya madirector uchwara ndio wameshika hatamu. Hamna kitu pale bana tusidanganyane. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ile SISU ni bongo movie ya ulaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The equalizer jamaa anajua sana.
 
Kabla sijaangalia extraction 2020, nilikuwa nikisikia ikisifiwa sana.
Binafsi huwa sipendi just kuona watu wanapigana tu halafu huelewi wanapigania nini au story yake haieleweki.
Niliipuuzia ile filam kutokana na trailer pia cover photo yake jamaa anaonekana kimapambano nikajua ni mambo yaleyale tu. Ila 2022 baada ya kelele kuwa nyingi nikaona ngoja niitafute.
For me it was among the best i have ever seen na sichoki kuitazama. Ngoja niitafute na hii naona inapigiwa kelele sana.
 
Hata hizo ulizozipa 9/10 karibu zote zimejaa uongo. Equalizer ni uongo mtupu kwenye scenes za mapigano.
 
SISU ni movie iliyotakiwa itolewe na director wa Bollywood. Movie zilizotoka siku za karibuni ni nzuri ila hazijafika viwango vizuri kwa upande wangu. Covenant, Kandahar, Sisu & Extraction 2 ziko njema ila wapambane zaidi.
 
Nasikia nayo sound nyingi sana. Ila wakitaka John wick at least iwe na mvuto mule wamuweke mojawapo kati ya hawa acheze role ya John wick,wampe aidha Jason Statham, Michael Jai white, Idris Elba, Chris Hemsworth, Ryan Gosling, Chris Evans, Liam Neeson, Ryan Reynolds kwa kutaja wachache tu maana hawa jamaa wakipewa role za kuwa jeshi la mtu m'moja huwa hawachemki.
Kiukweli mbaya bora jamaa alivyokufa.
 
Kabla sijaangalia extraction 2020, nilikuwa nikisikia ikisifiwa sana.
Binafsi huwa sipendi just kuona watu wanapigana tu halafu huelewi wanapigania nini au story yake haieleweki.
Niliipuuzia ile filam kutokana na trailer pia cover photo yake jamaa anaonekana kimapambano nikajua ni mambo yaleyale tu. Ila 2022 baada ya kelele kuwa nyingi nikaona ngoja niitafute.
For me it was among the best i have ever seen na sichoki kuitazama. Ngoja niitafute na hii naona inapigiwa kelele sana.
Hii kama mtu anakupa kwenye flash ni sawa, ila kama ni unataka kununua kwenye movie library aiseee achana nayo kabisa.
 
Hata hizo ulizozipa 9/10 karibu zote zimejaa uongo. Equalizer ni uongo mtupu kwenye scenes za mapigano.
Kuna movie unayoijua ambayo watu wanakufa kweli wakipigwa risasi au kulipukiwa na mabomu, au kuna movie unayoijua ambayo mtu m'moja kiuhalisia anaweza wachakaza watu 30 pekee yake?

Swala hapa tunaongelea namna uongo unavyogeuzwa kuwa ukweli. Kunatofauti ya kuigiza mtu anapigana na watu 5 kwa wakati m'moja akiwa pekee yake na kuna ili ufundi unatumika kuonyesha hilo tukio yaani technicalities zinazojumuisha mapigo, upigaji wake, speed ya attack, timing, namna edits zinafanywa, etc.

Tunaongelea ni namna gani producer na director wamefanya uongo kuwa mtamu ili story isikose uhalisia.

Hizo movie nilizolist hapo si mimi tu ambaye nimezikubali hizo ni movie ambazo zimeuza na zimefanya vizuri sana Hollywood na kuwafanya actors wake wapande chati na kuwa na shavu kubwa sana la kulipwa sababu ya kucheza vizuri movie hizi.

Kuna namna movie inatengenezwa hadi inakushawishi na kutrick akili yako kuwa ni kweli.

Tarehe 2 mwezi December mnamo mwaka 1983, Michael Jackson, alipoachia video kali ya "Thriller" ambayo ni Music Video yenye maudhui ya movie, yenye urefu wa dakika zaidi ya 14,iliyofanyiwa udirector na John Landis, iliwafanya watu watembee usiku huku wameshika mawe, wengine walishindwa kulala vizuri kwa wiki kadhaa baada ya kuitazama ile video, wadhani ni kwasababu "werewolves " walikuwapo kweli? Ila huyu director pamoja na Michael Jackson wakahakikisha watu hawatalala kwa kile watakachowaonyesha katika ile video.

Na ikawa hivyo.

Uongo ambao unafanana na ukweli.
 
Mzee SISU ameanguka na ndege toka juu mpak chini alafu ametoka hana hata michubuko
 
Hebu jiulize kile kibati kimetengenezwa kwa madini gani hayo hadi hakipitishi marisasi zaidi ya elfu tano jamaa alichapwa nayo. Inamaana jamaa walikuwa wanalenga lile bati tu miguu hawaoni? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nafkiri aliyefeli ktk hiyo movie ni mtu cinema ila story iko sawa kabisaa...
 
Binafsi John wick4 ndo haifai hata kidogo[emoji706]
Kuna wakati ktk movie waandishi wa story wanaishiwa...hivyo wanauzia jina la franchise na siyo content...hii imeikumba Fast and furious, expandables, prison break, escape plan, terminators, Avator na Sasa tumeona John Wick. Afadhari avators wao wametoa movie wakiitafutia njia nyingine yaani kisa kilifika mwisho hivyo inabidi watafute visa vingine na movie ikavutia ktk mambo ya nature na viumbe bahati Sasa wick ni marisasi mengi yasioendana na kisa yaani ile scene ya ktk ngazi ni ndeefu na haina reality yoyyte...kumuweka mtu kipofu Yen halafu hana uhalisia wa kipofu yaani wametupoga kama DP world tuuu
 
Ile movie ina mapungufu ambayo yameifanya kuwa ya kishamba wakati ilikuwa ni story nzuri tu ya kikomando. Yaani mimi katika scale ya 1 hadi 10 naipa 2 sababu ya makosa ya kiufundi na kiuhalisia ya director.

1. Kuna ile scene yule Sisu alikuwa na farasi wake kwa bahati mbaya akaingia eneo lenye Mabomu ya ardhini, baada ya wale jamaa kumjia lile eneo moshi ukawa hauishi, sikuelewa kwann director alifanya ule "ubongo movie pale".

Hivi inawezekana kweli watu msimame umbali usiopungua hata mita 10 halafu huyu mtu eneo lake tu ndio limetanda moshi hamuoni kitu chochote na jamaa wanasilaha kali wangeza mlenga na kumaliza kazi?

Kuna kipande anafanikiwa kutoroka anaingia chini ya maji kwenye mto, maadui wakiwa ng'ambo moja anawamaliza kwa kuwavuta ndani ya maji kutokea wao maadui wakiwa wanamfuata ndani ya maji yeye akiwa katulia tu chini anawasubiria.

Kiuhalisia yule jamaa alikuwa anakimbizwa, so mapafu yake yatakuwa yamesuphocate oxygen atakuwa anahitaji kukaa open space yenye hewa safi avute hewa, jamaa kazama chini ya maji, huku mapigo ya moyo yakiwa juu halafu katulia how is that possible, okay tuseme inawezekana sababu alijitrain, haya kuna muda akatoka kwenye maji akajitwisha mwili wa askari aliyeuwawa na yule adui kuu sababu ya kumsaidia kuvuka na boti kwenda ng'ambo ya pili, jamaa ajajitwisha mwili ili kujikinga na risasi ambazo zinamiminwa tokea ng'ambo ya pili na maadui hiyo mashine inayomimina inaweza kuchakaza mti na kuukatilia mbali ila mwamba zile risasi haikumpata hata moja[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kwenda kinyume na rules of reality kwenye movie.

Kuna kipande baada ya kurudia ile convoy ya maadui, akaanza kuwachomoa askari kutoka katika ile lori anawatupa mbele ya kifaru halafu ni jua linawaka keupe peeee , imagine kifaru kipo nyuma ya lori ina maana waliopo juu ya kifaru na ndani ya kifaru wanaona mbele otherwise kama hawaoni wangegonga lile lori, jamaa alikuwa akiwachomoa kama kuku bandani anawatupa nje yeye akiwa amening'inia wapi sasa kwa wakati huo? Technically huu ni uongo wa bongo movie.

Zile landmines/ bombs zilikuwa zikilipuka yeye hazimdhuru tena amezikanyaga ila maadui anawarushia zinawadhuru, huu ni udirector wa kishamba sana ambao kwa sasa wamebakia nao waindi tu kwenye movies zao.

Ndege inaruka jamaa amepiga sululu moja kakamatia uvunguni anaruka nayo hivi unajua laws of physics ndege ikiwa inapaa halafu ikafika kimo kirefu kama kile mtu akining'inia nje nini kinampata balaa la upepo linavyokua. Halafu ndege inaonekana ishafika juu na imekaa level jamaa ndio anaanza kutoboa kuingia ndani, no evidence of how ila mbwe mbwe tu za akina amita bachan [emoji23][emoji23][emoji23]

Adui mule ndani ameshamcontain yule Sisu cha ajabu anamuangalia wakati angeweza mtia shaba za kichwa show ikaisha ila anapiga ngumi tu na anajua jamaa anaroho ya paka hafi kirahisi.

Hamna kitu pale yaani afadhalia hata na ya John wick mara mbili ningesifia ni movie kali tena sio hiyo Sisu director amepuyanga sana mule.
🤣🤣🤣 umesahau kaanguka na ndege kwenye matope, af mwanaume ametoka hana ata mkwaruzo.
 
Nasikia nayo sound nyingi sana. Ila wakitaka John wick at least iwe na mvuto mule wamuweke mojawapo kati ya hawa acheze role ya John wick,wampe aidha Jason Statham, Michael Jai white, Idris Elba, Chris Hemsworth, Ryan Gosling, Chris Evans, Liam Neeson, Ryan Reynolds kwa kutaja wachache tu maana hawa jamaa wakipewa role za kuwa jeshi la mtu m'moja huwa hawachemki.
Boss mbona Keanu ame-play part vizur tu, Hata hii chapter 4 imekaa vizur na most ov the scenes zimepangika vizur na zina uhalisia ... Au nitajie scene ambayo wew unaona director amekata viuno
 
Extraction II Ni safi sana ila Fast X [emoji41] aaah pale wamekata viuno yaani unaangalia mpaka unasema eeh hapa wameniongopea
 
Back
Top Bottom