Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee.
Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi ya maiti bila kufa. Ananyongwa na wanajeshi wa nazi usiku kucha lakini asubuhi bado ni mzima.
Farasi aliyembeba mzee sisu anakanyaga bomu na kulipuka huku farasi akisambaratika vipande mia 3 lakini mzee sisu ni mzima wa afya🤣
Mwishoni mzee sisu akiwa ndani ya ile ndege ya maadui, ndege inadondoka rubani anafariki lakini mzee sisu anatoka akiwa mzima na kuelekea kwa sonara kuuza dhahabu yake🤣🤣 yaani hajavunjika hata nywele.
Hivi kuna movie kwasasa inaizidi hii kwa uongo?