SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

Hiyo ndio maana ya Action Movie ni badass action stunts mwanzo mwisho. Ukisikia movie za kiume ndio hizo sasa unakaa chini unacheck movie roho inapenda. Movie inayo resonate na inner masculine nature.

Kama huwezi basi check hollywood movie zilizojaa mafala na mafenist. Na kama ukitaka drama na uhalisia basi nenda kacheck Zahanati Ya Kijiji cinema zetu au ile wanaita Revenge.
 
wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee.

Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi ya maiti bila kufa. Ananyongwa na wanajeshi wa nazi usiku kucha lakini asubuhi bado ni mzima.

Farasi aliyembeba mzee sisu anakanyaga bomu na kulipuka huku farasi akisambaratika vipande mia 3 lakini mzee sisu ni mzima wa afya[emoji1787]

Mwishoni mzee sisu akiwa ndani ya ile ndege ya maadui, ndege inadondoka rubani anafariki lakini mzee sisu anatoka akiwa mzima na kuelekea kwa sonara kuuza dhahabu yake[emoji1787][emoji1787] yaani hajavunjika hata nywele.

Hivi kuna movie kwasasa inaizidi hii kwa uongo?
Kiukweli najuta Sana kuharibu mb 800 zangu... Uongo mwingine wa SISU ni huu hapa..

Mzee SISU anavamia msafara wa wanajeahi wa Nazi bila kujulikana na kuua walinzi kisha anawapa bunduki mademu wanaenda kuua wanajeshi kama vikatuni [emoji1787]

Mzee SISU anapigwa na chuma zaidi ya mara 20 na mwanajeshi wa Nazi lakini hafi [emoji23]

Mengine hata n aibu kuangalia Bora nitazame katuni ya Coco
 
[emoji16] subtitles hazina kazi kwenye hii movie maana hakuna story
GridArt_20230528_211019406.jpg
 
wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee.

Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi ya maiti bila kufa. Ananyongwa na wanajeshi wa nazi usiku kucha lakini asubuhi bado ni mzima.

Farasi aliyembeba mzee sisu anakanyaga bomu na kulipuka huku farasi akisambaratika vipande mia 3 lakini mzee sisu ni mzima wa afya[emoji1787]

Mwishoni mzee sisu akiwa ndani ya ile ndege ya maadui, ndege inadondoka rubani anafariki lakini mzee sisu anatoka akiwa mzima na kuelekea kwa sonara kuuza dhahabu yake[emoji1787][emoji1787] yaani hajavunjika hata nywele.

Hivi kuna movie kwasasa inaizidi hii kwa uongo?
Nadhan hii muvi haina uongo kivlee icpokuwa Ni ufundi tu pia umesema baadhi ya matukio ya kwny Ile ambyo Ni ya uongo ukiweza Rudi Tena kaiangalie Ile muvi then uje tujadili,
Mfno Yule rubani alishambuliwa kwa risasi b4 ndege kuanguka.
Wakati Sisu amenyongwa aligeza ule ubao ikainama then akajichoma na nondo iliyokuwa kwny mbao ili apate balansi ya mwili asife.
Farasi kulipuka then yy asife ilitegemea na uwezo wa bomu husika.
Halikuwa bakuli la bati alilo jikinga nalo Ni Kama mfano wa ngao ngumu.
Asante.
 
Back
Top Bottom