SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

Ndiko ulimwengu wa filamu ulikofikia sasa, maana hakuna jipya ama geni ambalo halijawahi kuigizwa....so it's all about fiction......

Tiendelee kuburudika tuu! Maana hakuna namna!
 
Kama ya kihindi wala haihitaji lawama.

Muhindi kuku-actia movie anadaka risasi na meno ni kugusa tu hao jamaa kwa magumashi kwenye film zao hawakuanza leo.
Hahahaha wahindi wahuni sana[emoji1787][emoji1787]

Kuna muvi Moja eti Ajay Devgan anatoka kwenye kama vile hataki wakati gari ikiwa inazunguka speed Kali sana 360° aisee[emoji1787][emoji1787]

Jamaa waongo kupitiliza
 

Attachments

  • sisu-jorma-tommila.jpg
    sisu-jorma-tommila.jpg
    24 KB · Views: 26
sa' mnakasirika nini? si wanaigiza, kama ilivyo kwa hizo movie nyingine zote uongo mwanzo mwisho,. ni maigizo.
 
Back
Top Bottom