Ukitaka uonyeshwe kila kitu movie itakua na zaidi ya masaa sita....
kama umeangalia kwa makini,kuna wakati Mzee sisu alikua anachimba zak mashimo ya dhahabu lakini akawa anasikia sauti za risasi na mabomu yakilipuka...zile sauti za mabomu maana yake ni wanajeshi waliokuwa wanalipuka kwenye mapigano na ndo uko uko ndo kulikua na mine field
Aya nakurejesha tena,wakati Sisu anapishana na ule msafara,jamaa alitaka kumshoot lakini akakatazwa na kuambiwa kwamba haina haja maana uelekeo anaoenda Sisu ni kama anajipeleka mwenyewe kwenye kifo,maana yake ule msafara ulishatoka uko kufanya maanagmizi na kuwaua watu wote kwenye ayo mapigano, Conclusion ni kwamba yawezekana ile ngao mzee Sisu aliipata kwenye mabaki ya wale watu waliouliwa na ule msafara
Au ulitaka mpaka wakuonyeshe jinsi anavyoiokota iyo ngao ?[emoji28]