Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 783
- 3,666
Hakuna mtanzania anaetaka serikali imlishe milo mitatu au impe hela bure, Hakuna.
Tunachosema ni kua TANZANIA ina rasilimali za kutosha kuleta ahueni kwenye maisha ya watu.
Wanachofanya viongozi ni kujinufaisha wao, familia zao na maswahiba wao.
Kwa mfano suala la gesi, haiwezekani iingie kwenye uzalishaji na bei isishuke, nani ananufaika?
Sasa hawa wanaoitwa wasanii, si tu wameamua kujiweka huko kwa wadhalim, bali pia wameamua kudharau watanzania, but THE WORLD IS SPINNING AROUND