Masalia ya ukoloni!Kuanzia leo sitachangia kitu chochote jamii forum kwa lugha ya Kiswahili iwe mada imeletwa kwa lugha ya kiswahili ama ya kingereza nitachangia kwa lugha ya kingereza hata kama ni kibovu kupitiliza na hii inatokana na sababu zifuatazo
1.Haiwezekani natarajia kujiunga mwaka wa kwanza chuo nikiwa mbovu au mtu nisiye nauwezo wa kuandika lugha ya kingereza vizuri
2.Nikiwa shule enzi hizo kulikuwa kuna kale kamsemo kuwa "wanasayansi huwa hatunaga mda na kingereza" huu ujinga sihitaji kuendeleza nikiwa naanza chuo mwaka huu
3.Kudharau lugha kwasababu kutwa nzima nilikuwa naongea kiswahili na machizi kitu kilichopelekea nisiweze kuongea kingereza vizuri
HIVYO BASI HAYA YATAKUWA MAANDISHI YANGU YA MWISHO KABISA YA LUGHA YA KIPEKEE YA KISWAHILI
so Long story short from these point to go on l will neither writing nor comment anything never in Swahili language in order to gain my writing English skills
I herd these statement a lot but I chose to scon you're commentsI hope one day people will understand that English is a language but not a measurement of intellegence.....
That is you're point chief but not my intention therefore you're point is pointless in my side.Masalia ya ukoloni!
If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
Duhh.....[emoji15] [emoji15]Haki ya Mungu kijana umevurugwa hahahah
Nisawa na kutembea ukiwa unarudi nyuma.....Hivi nikiandika ‘To make a long story short’ badala ya ‘To make the long story short’ nitakuwa nimekosea?
you opinion [emoji735]That is you opinion not my opinion
Nisawa na kutembea ukiwa unarudi nyuma.....
Ingawa watakao kutazama huku wakiwa na mwendo kasi, wataona unatembea..[emoji13] [emoji13]
You are ( state of being) + Verb + ing / adjective.That is you're point chief but not my intention therefore you're point is pointless in my side.
Or To cut the story short, .........= to make the long story short, from now on l will neither write nor comment in Swahili to improve my English.
That is you're point chief but not my intention therefore you're point is pointlessin my side.
We are together, let me and you (us) take one step forward/ ahead ....We are together let I and you take one step towards
starting- startHellow ...i want to learn more can you starting a Thread of Speaking English language !!
Don't put all egg on one Basket
I heard these statementsI herd these statement a lot but I chose to scon you're comments
Currently / modern EnglishMasalia ya ukoloni!
If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat