Sitachangia Uzi wowote kwa Lugha ya kiswahili

Sitachangia Uzi wowote kwa Lugha ya kiswahili

moja kati ya tip iliyoniimprove lugha ya wakoloni ni
"Think in english"!
kwa mara ya kwanza niliona kama ni upuuzi lkn tofauti..!

muda mwingi tunapokuwa tunawaza huwa tunatumia lugha mama ktk kuwazi yani unakuwa unawaza kwa kuzungumza lugha uloizoea mf kiswa n.k
so unachotakiwa ni kubadili uwe unawaza in english language! ni ngumu lkn inasaidia sana.
chengine kama umeshindwa kuelewa neno na unataka maana yake angalia ktk lugha hiyohiyo sio english to swahil no,english to english lbd neno likushinde kbs.
penda kusoma makala za lugha husika,sikiliza na utambue namna ya kupronaunsi maneno husika. yangu hayo bado napambana na hali yangu!
 
Kuanzia leo sitachangia kitu chochote jamii forum kwa lugha ya Kiswahili iwe mada imeletwa kwa lugha ya kiswahili ama ya kingereza nitachangia kwa lugha ya kingereza hata kama ni kibovu kupitiliza na hii inatokana na sababu zifuatazo

1.Haiwezekani natarajia kujiunga mwaka wa kwanza chuo nikiwa mbovu au mtu nisiye nauwezo wa kuandika lugha ya kingereza vizuri

2.Nikiwa shule enzi hizo kulikuwa kuna kale kamsemo kuwa "wanasayansi huwa hatunaga mda na kingereza" huu ujinga sihitaji kuendeleza nikiwa naanza chuo mwaka huu

3.Kudharau lugha kwasababu kutwa nzima nilikuwa naongea kiswahili na machizi kitu kilichopelekea nisiweze kuongea kingereza vizuri

HIVYO BASI HAYA YATAKUWA MAANDISHI YANGU YA MWISHO KABISA YA LUGHA YA KIPEKEE YA KISWAHILI

so Long story short from these point to go on l will neither writing nor comment anything never in Swahili language in order to gain my writing English skills
Masalia ya ukoloni!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Masalia ya ukoloni!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
That is you're point chief but not my intention therefore you're point is pointless in my side.
 
Hivi nikiandika ‘To make a long story short’ badala ya ‘To make the long story short’ nitakuwa nimekosea?
Nisawa na kutembea ukiwa unarudi nyuma.....
Ingawa watakao kutazama huku wakiwa na mwendo kasi, wataona unatembea..[emoji13] [emoji13]
 
huu uzi tayari ushaharibika..totaly confused
 
Yaani kwakuonyesha msisitizo hata hapa unge andika ung'eng'e mwanzo mwisho,

Japo umekumbuka shuka kumekucha, ila sio mbaya, lugha zote ni sawa , ukikwama kwama niambie nikuandikie
 
Nisawa na kutembea ukiwa unarudi nyuma.....
Ingawa watakao kutazama huku wakiwa na mwendo kasi, wataona unatembea..[emoji13] [emoji13]

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijakusoma mkuu Ushimen. Unaweza kunielezea kwa kutumia layman language? [emoji851]
 
Masalia ya ukoloni!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
Currently / modern English
First person pronouns, whether singular or plural, make use of ..I/ will + shall....
He / she/ it / they + will....( for the second and third personal pronouns,in singular and plural ) .
English language is international
You can't get rid of it, dude!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom