KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
moja kati ya tip iliyoniimprove lugha ya wakoloni ni
"Think in english"!
kwa mara ya kwanza niliona kama ni upuuzi lkn tofauti..!
muda mwingi tunapokuwa tunawaza huwa tunatumia lugha mama ktk kuwazi yani unakuwa unawaza kwa kuzungumza lugha uloizoea mf kiswa n.k
so unachotakiwa ni kubadili uwe unawaza in english language! ni ngumu lkn inasaidia sana.
chengine kama umeshindwa kuelewa neno na unataka maana yake angalia ktk lugha hiyohiyo sio english to swahil no,english to english lbd neno likushinde kbs.
penda kusoma makala za lugha husika,sikiliza na utambue namna ya kupronaunsi maneno husika. yangu hayo bado napambana na hali yangu!