Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

kituna

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
27
Reaction score
67
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
 
Hii nafasi yangu kabisa,njoo pm tuyamalize,makanda mkono juu
 
Baada ya muezi 2 utaondoa hivyo vigezo na utasema yeyote
 
Sisi wafupi tayari tumekosa fursa
 
Katika vipengele vyote nimependa hapo kwenye chembechembe za biashara.
I can see wewe ni mwanamke makini sana.
Mwenyewe pamenigusa kweli maana nimetoka kuweka bandiko kama hili soon naona na naye kapanda na uzi kama wangu umri ndo unatutenganisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…