Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

But amini usiamini.Anaweza akambahatisha..
Asikate tamaa
Chance zipo.
Kufanikisha atafanikisha,ila 'in long run' kutakuwa na changamoto nyingi,kama baadhi ya mambo hayatakuwa sawa.mke/mume ni zaidi ya se.x
 
Utafiti unaonyesha 97% ya WANAWAKE wanaopenda WANAUME WAREFU wenyewe ni WAFUPI,,,halafu tupe sifa ZAKO wewe upoje? siku hizi MWANAUME ni dhahabu,,,,hatuji pm bure bure,
 
Yes friend
Kitu chochote ukikiamulia unapata
Na maombi ni muhimu.
Ni kweli mkuu,nakumbuka wakati mimi natafuta mke zaidi ya miaka 10 iliyopita ilikuwa changamoto;ndio nimemaliza chuo na ninafedha chache za kujikimu,nilikuwa nikiwafuata wadada wananipiga chini sababu sikuwa na future;lakini kwa mapenzi ya mungu nilipata mtu aliyevumilia na tukapambana,hadi leo ndio mke.kwa heshima nikaamua Asset zote na miradi yote tuliyopata ndiye msimamizi mkuu.Cha muhimu ni kupata mtu sahihi mwenye dhamira ya kweli,fedha na mali zinatafutwa kama utu wa kujali upo.
 
Uvumilivu Ndo sifa kuu.
Hili wanawake tunafeli.
Kikubwa uvumilivu
 
Mamii utapata.Wengine Wapo kukatisha wenzao tamaa Na kutwa Wapo hapa love connect. huwa najiulizaga kwani majukwaa mengine hawayaoni.
Jf wameweka jukwaa hili kwa kuwa linafaa Na kuna uhitaji Na watu smart wanapata wenza .
Go my Girl.Life is everywhere and with anyone any place .No boundaries.

Mh!
 
Hili ni Tatizo kubwaaa
Na hii imewasababisha wadada wa watu kuchapwachapwa hovyo mwisho wa siku ndoa hakuna;wanafikia kukata tamaa na kuanza kuingia mtandaoni kujaribu bahati.
 
tafadhar dada angu, nme ku pm lkn lkn sms imekataa kuja, nahis pm yangu ina matatzo, pls kama kweli upo serious!! pm me your no, nkutafute, natanguliza shukran
 
Hatari wafupi anajua akikohoa tu kibamia kitachomoka hizi ni mbinu za medani
 
Back
Top Bottom