Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Dah...kitambo sana nipo mpweke...Hadi nikabadili matumizi [emoji41]
FB_IMG_1537099397719.jpg
 
Na hii imewasababisha wadada wa watu kuchapwachapwa hovyo mwisho wa siku ndoa hakuna;wanafikia kukata tamaa na kuanza kuingia mtandaoni kujaribu bahati.
Hapa nakukataliaaa
Sio wote wanaoingia Mtandaoni walipitia hayo.
Wengine walikuwa Na wenza wachumba wakawafumania.Walifiwa.Kuna mambo mengi sana.
Kumjudge MTU simply umemuona hapa is not right my friend.
Changamoto ni nyingi sana
 
Nakubaliana nawe
 
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
Awe mkazi wa wapi
 
Jina lako kituna, mm ningependa kujua kilichotuna ni nini?
 
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
Kituna mumeo niko hapa njoo nakusubili kule makutano junction..!
 
naona uzi mpya umefutwa weka matokea hapa basi?
 
Back
Top Bottom