Elections 2015 Sitagombea ubunge ng'oooo..nautaka urais tu!

Elections 2015 Sitagombea ubunge ng'oooo..nautaka urais tu!

Toka ufukuzwe CHADEMA umekuwa na akili za kitoto na kijinga kabisa. Typically the same to Chris Lukosi.
Wataalam wa magonjwa ya Akili wanaita hii hali yako MANIA.
Nakushauri omba kurudi CHADEMA huenda utapona ugonjwa wako.
 
Kila raia wenye sifa stahiki anayo haki ya kugombea uraisi. Lipi la ajabu???? Kugombea ni jambo moja, na kushinda ni jambo jingine. ila ni haki yake kimsingi, na naomba wa tz tikomae ki-demokrasia. Kama Mw***lu anaandaa timu ili agombee kwa tiketi ya chama tawala, itakuwa huyu?????
 
Nimejikuta nacheka tu....Kweli JF ni stress free zone. Yaani kuanzia mtoa uzi na wajibuji wote wamenichekesha sana.

Hongera kaka KISANDU umewaza positive....lakini......!!!!!
 
Eti kuna watu wanamwita baba....Teh teh teh.
 
Mods,

Hemu futeni huu upuuzi, hivi huyu mwendawazimu anafanya hili jukwaa ni la wehu kama yeye?

Who cares kama utagombea urais au udiwani?, nenda kamueleze mamaako habari za kipum.bavu hizi.

Wewe nilijua lazima urespond hivi, vile tena hayupo CCM.....! Mpaka nimekariri...... nina maswali mengi kuhusu fikra zako. Wewe kama hutak kuiona waweza ipotezea si kuwaamuru mods kuifuta
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.

Ni haki yako lakini labda urais wa CHANETA(Chama cha Netball Tanzania)
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
Jina Lako tu Kwanza ndo nakuckia Leo nimejiulza sn ni wa Chama gan kuendelea kidogo ndo nakuta umektaja,,umefunikwa hata na Suggu ni popular,,
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea ubunge naendelea na dhamira yangu ya urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya kahama ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. Viva chama cha nccr-mageuzi.
chama chenyewe hicho watu wanakikumbuka?
 
Hamy-D yamekuwa hayo?
Napita nitarudi baadae

Mods,

Hemu futeni huu upuuzi, hivi huyu mwendawazimu anafanya hili jukwaa ni la wehu kama yeye?

Who cares kama utagombea urais au udiwani?, nenda kamueleze mamaako habari za kipum.bavu hizi.
 
Kweli 2015 kazi ipo. Watu washaanza kufanya biashara kupitia mgongo wa siasa mapemaaa.
Huyu jamaa ashaona anaweza pata ruzuku ameamua kupiga makelele hapa.
Mnampa promo huyo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.

Hebu tuambie hela za Kuijenga Kahama utazitoa wapi? Au na wewe ukiwa rais unataka bandari mpya ijengwe Kahama? Airport mpya nayo iwe Kahama na bomba la gesi ya Mtwara ielekezwe kwenye viwanda vya Mtwara?
 
Unajitafutia matatizo na dictator Mbatia.
 
Anatafuta sababu ya kutimuliwa NSSR. Namshauri akitimuliwa aende CCM
 
Back
Top Bottom