Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
ameniambia anataka urais wa maliberali tanzania ( chadema na cuf)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe Kisandu ugombee urais wa nchi hii ? Kwanza naona aibu sana kusoma habari hii ! Hivi ni nani ameufanya urais wa Tanzania kuwa kama kichwa cha mwendawazimu kiasi hiki ?
Mods,
Hemu futeni huu upuuzi, hivi huyu mwendawazimu anafanya hili jukwaa ni la wehu kama yeye?
Who cares kama utagombea urais au udiwani?, nenda kamueleze mamaako habari za kipum.bavu hizi.
------- kabisa wewe yaani hii inaweza kuwa breaking new.. wewe sukuma la wapi jinga hivi kama Shibuda tu....
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
Ndivyo walivyo. Samahani alshakm si matuzi, wasukuma ndo wanakwamisha maendeleo nchi hii. Kwanza ni wengi wamesaambaa nchi nzima lakn mchango wao hulingani na wingi wao. Hebu mtizame chenge, sasa nakuja na kodi ya simu. wasukuma bwana, wanajifanya watawi kumbe magamba (magome ya miti) tu.------- kabisa wewe yaani hii inaweza kuwa breaking new.. wewe sukuma la wapi jinga hivi kama Shibuda tu....
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
Wewe utakuwa jitu la kaskazini, umejaa ukabila.
KILAZA @ WORK....kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
Naona umeenda kufukua makaburiDah kisandu we kweli chizi
mkuu vp ulifanikiwa?kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
Hivi Huyu Jamaa kashatoka "NYUMA YA NONDO"?kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima niingie2015. Hii ndio habari ya mjini. Wilaya ya KAHAMA ni kwetu na nitapajenga na ninaendelea kupajenga. VIVA Chama cha NCCR-MAGEUZI.
kumbe alikuwa kashikiliwaHivi Huyu Jamaa kashatoka "NYUMA YA NONDO"?
Habari zake za mwisho ilikuwa amekamatwa kwa makosa ya kimtandao,sina kumbukumbu kama kashaachiliwa.kumbe alikuwa kashikiliwa