Sitaisahau siku lift ya ghorofa ilipofail/kwama katikati ya safari nikiwa peke yangu

wachangiaji wameeleza matukio yao vzr kuliko mtoa bandiko akiye leta stori ya uongo na kujificha kwenye kivuli cha kutonesha kidonda.
 
Kakojoe ulale
 
Wanaume wa Dar tuna shida sana. Kwahiyo kuelezea tu hapo umetonesha kidonda, umeacga kuandika, sasa hivi upo na leso unafuta machozi?
 
Vijana wa siku hizi ni wazembe sana yaani kijana mzima mwenye nguvu zake unakuta mpaka ghorofa ya pili au ya nne Mtu anangoja lift......

Mimi binafsi huwa nafikiria lift kuanzia ghorofa ya kumi na tano na kuendelea
 
Acha kabisa lakini wakati mwingine hakuna jinsi fikiria unaenda ghorofa ya 20. Kuna moja nilisikia zile waya ambazo zinaishikilia zilikatika ikiwa na watu ndani basi ikaporomoka kufika chini kuna watu walikufa na wengine kuvunjika miguu.
Dhuuuuu aiseeee hii
Inania waswas Sasa
Nianze kupanda na stairs
 
Reactions: BAK
Mm ndo maana nkienda
Mahali kama n kupanda na lift
Naangalia kwanza lift yenyewe
Kama imechoka (kuchakaa)

Naachana nayo napenda
Na stairs tu
 
Reactions: BAK
Daah pale Benjamin mkapa tower, nilikuwa nnaelekea gorofa ya 10 TPDC tulivyofika ya 8 ikagoma siyo sababu ya umeme lakini...baada ya kama dakika kumi ikaanza kwenda juu kwa kasi ya ajabu, kufika juu ikashuka chini kwa kasi ya ajabu afu ikapanda tena mpaka gorofa ya 9 kwa speed ile ile, aisee nilijuta kuapanda ile lift kwa Siku hiyo,

Na pia lift za jengo la ushirika la zamani
 
Mlibaki kufa tu
 
Dah.....mleta Uzi unatakiwa ukapime afya yako haraka sana..... Kwani hewa ya oxygen iliyopo kwenye lift inamtosha MTU mmoja kwa zaidi ya masaa 7...[emoji13]
 
kupanda lift hakukwepeki imagine ofisi ipo ghorofa ya 10 wewe unaanzia chini...halafu eti unajifanya nunda upande ngazi moja moja...mweeeeh utaisoma namba hadi ufike kule juu
 
Hahahah Ile Lift ya Jengo la Airtel Sio Rafiki kabisaaaa. Nusu imefunikwa nusu ni vioo, Aaghh halafu ikishuka inashuka kwa speed balaa huku unaona kila kitu. Unatamani kufumba macho Usione lakini macho yanakurudisha Uangalie kidogo, ukiangalia tu Roho inapasuka kama vile umekutana na Wasiojulikana
 
Acha kabisa lakini wakati mwingine hakuna jinsi fikiria unaenda ghorofa ya 20. Kuna moja nilisikia zile waya ambazo zinaishikilia zilikatika ikiwa na watu ndani basi ikaporomoka kufika chini kuna watu walikufa na wengine kuvunjika miguu.
that is the worse scenario![emoji17]
 
Kuchanganyikiwa mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kabisa lakini wakati mwingine hakuna jinsi fikiria unaenda ghorofa ya 20. Kuna moja nilisikia zile waya ambazo zinaishikilia zilikatika ikiwa na watu ndani basi ikaporomoka kufika chini kuna watu walikufa na wengine kuvunjika miguu.
Vipi maandamano yenu?
 
wenzetu majuu huko lift yote vioo tupu halafu inawekwa side... yani pembeni kule unakoweza kuona kila kitu..
mm kitu kinachoitwa gorofa sijawahi kukizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…