Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah pale Benjamin mkapa tower, nilikuwa nnaelekea gorofa ya 10 TPDC tulivyofika ya 8 ikagoma siyo sababu ya umeme lakini...baada ya kama dakika kumi ikaanza kwenda juu kwa kasi ya ajabu, kufika juu ikashuka chini kwa kasi ya ajabu afu ikapanda tena mpaka gorofa ya 9 kwa speed ile ile, aisee nilijuta kuapanda ile lift kwa Siku hiyo,
Na pia lift za jengo la ushirika la zamani
Mecheka sana jamani!!! Khaaaa, ilikuwaje ikasimama sasa