[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah pale Benjamin mkapa tower, nilikuwa nnaelekea gorofa ya 10 TPDC tulivyofika ya 8 ikagoma siyo sababu ya umeme lakini...baada ya kama dakika kumi ikaanza kwenda juu kwa kasi ya ajabu, kufika juu ikashuka chini kwa kasi ya ajabu afu ikapanda tena mpaka gorofa ya 9 kwa speed ile ile, aisee nilijuta kuapanda ile lift kwa Siku hiyo,
Na pia lift za jengo la ushirika la zamani
Sijawahi ila sipandi yani labda nivutwe kwa nguvuHahahaaaa, kwani ushawahi kunasa?
Duuuh hatari acha nibaki tu na ushamba wangu teh....Acha kabisa lakini wakati mwingine hakuna jinsi fikiria unaenda ghorofa ya 20. Kuna moja nilisikia zile waya ambazo zinaishikilia zilikatika ikiwa na watu ndani basi ikaporomoka kufika chini kuna watu walikufa na wengine kuvunjika miguu.
Kuna siku hiyo hadi nilijicheka yani nipo na mtu ananivuta twende kwenye lift mie nmesimama kwenye ngazi, mkono mmoja nimeshika kingo za ngazi mkono mmoja ananivuta afu anashout twendeee nami nmekomaa siendii napanda ngazi, waliokua wanapita hawana mbavu, sikupanda lift mieHahahaha ushikwe kwa nguvu. Pole mwanetu
Ntakutafuta nikuvute kwa nguvu mara kwa mara hadi uzoee[emoji1] [emoji1]Sijawahi ila sipandi yani labda nivutwe kwa nguvu
HahahaaaaaKuna siku hiyo hadi nilijicheka yani nipo na mtu ananivuta twende kwenye lift mie nmesimama kwenye ngazi, mkono mmoja nimeshika kingo za ngazi mkono mmoja ananivuta afu anashout twendeee nami nmekomaa siendii napanda ngazi, waliokua wanapita hawana mbavu, sikupanda lift mie
Inatokeaga mara chache mnooo sitaki kuizoea tehNtakutafuta nikuvute kwa nguvu mara kwa mara hadi uzoee[emoji1] [emoji1]
Hapana Aunt kuna maghorofa mengine marefu sana unalazimika tu kupandami ndo maana sitakagi hizo mambo, hadi nipande lift labda nishikwe kwa nguvu
Duuuh hatari acha nibaki tu na ushamba wangu teh....
Siku nlienda kujifungua nna uchungu nesi ananambia tupande lift kwenda leba, nkamwambia hapana sipandi lift mie napanda ngazi, anauliza mara mbili utaweza kupanda namwambia lift sipandi....wala sikupanda
Dah nitapanda nimeng'ata menoHapana Aunt kuna maghorofa mengine marefu sana unalazimika tu kupanda
kuamka ukakuta wameshakula[emoji23]
Mkuu punguza hasiraYani mashoga utawajua tu yani kila kitu anakifikiria in that way jaman acha uchoko mbwa weweee.
Si unatakiwa uzoee ili usiwe muoga tena?Inatokeaga mara chache mnooo sitaki kuizoea teh
Duh? Wewe kiboko!Duuuh hatari acha nibaki tu na ushamba wangu teh....
Siku nlienda kujifungua nna uchungu nesi ananambia tupande lift kwenda leba, nkamwambia hapana sipandi lift mie napanda ngazi, anauliza mara mbili utaweza kupanda namwambia lift sipandi....wala sikupanda