canali issa
Member
- Feb 20, 2017
- 9
- 5
toa mfano ili tujue zinatumikaje..au naww ni ticha wa maths unatetea ugali wakoTatizo wabongo hakili zetu mgando sana.. Hizo kds,kks,tan, cos na vingine tunazitumia kila siki sio kazini tu hata katika mishe mishe zetu za kila siku.
Kwa wanaozielewa wanajua japo application yake unaweza usijue kuwa kuna maths imekuwa involved ila usidanganye watu kuwa hazina matumizi.
Hizo issue zina uhusiano na karibia kila aspect ya daily life la binadamu. Kwamfano katika ujenzi fundi tu ambae hajasoma shule hata ya msingi katika ujenzi wake lazima atimie sine na cosine kujua uzito wa paa na aweke nguzo ngapi ili jengo liwe stable na paa lisianguke.toa mfano ili tujue zinatumikaje..au naww ni ticha wa maths unatetea ugali wako
Hizi ata ambaye hajasoma anajuaAu imagine unafanya kazi posta unaishi tegeta.
Asubuhi lazima ujue unatakiwa ufike ofisini saa ngapi na hivyo utajua kabisa unatakiwa kuamka saa ngapi ili ufike ndani ya muda unaotakiwa.
Lazima u estimate muda utakaopoteza njiani kwenye foleni na endapo kutakuwa na dharura nyingine.. Hizo zote ni hesabu ila watu wanajitoa ufahamu
Ndio maana nikasema tunaziapply bila hata kujuaHizi ata ambaye hajasoma anajua
Hebu nitolee hata mfan. 1Tatizo wabongo hakili zetu mgando sana.. Hizo kds,kks,tan, cos na vingine tunazitumia kila siki sio kazini tu hata katika mishe mishe zetu za kila siku.
Kwa wanaozielewa wanajua japo application yake unaweza usijue kuwa kuna maths imekuwa involved ila usidanganye watu kuwa hazina matumizi.
We ata chiz anae jielewa anajua.Au imagine unafanya kazi posta unaishi tegeta.
Asubuhi lazima ujue unatakiwa ufike ofisini saa ngapi na hivyo utajua kabisa unatakiwa kuamka saa ngapi ili ufike ndani ya muda unaotakiwa.
Lazima u estimate muda utakaopoteza njiani kwenye foleni na endapo kutakuwa na dharura nyingine.. Hizo zote ni hesabu ila watu wanajitoa ufahamu
sasa hizo sine na cosine sio logarithim?Log inatumika wap?
Kwenye ujenzi, kupika ugali[emoji12] [emoji12]toa mfano ili tujue zinatumikaje..au naww ni ticha wa maths unatetea ugali wako
Hahahaaaaaa Hisabati Ni Somo Rahisi Tatizo Tunakaririshwa Vitu Ambavyo Wengi Wetu HatuvitumiiTangu nimeanza kazi sijawahi kutumiaa Kigawo Kikubwa cha Shirika(K.K.S) na Kigawe Kidogo cha Shirika(K.D.S)
Sijui shule nilisoma vyanini[emoji20][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] kuchoshana tu...nikikutana na mwalimu wa hili somo ama zangu ama zake!!!
Kumbe Wanajua Bila Wao Kujua! Lol Ila Hesabu Zingine Kukomoana Tu AaahHizo issue zina uhusiano na karibia kila aspect ya daily life la binadamu. Kwamfano katika ujenzi fundi tu ambae hajasoma shule hata ya msingi katika ujenzi wake lazima atimie sine na cosine kujua uzito wa paa na aweke nguzo ngapi ili jengo liwe stable na paa lisianguke.
Lazima utumie cosines na sines kujua urefu na angles zinazotakiwa ili jengo liweze kuwa imara. Japo ni vitu ambavyo watu wanafanya bila kujua kwamba kuna mathematics wanatumia.
Basi Kila Mtu Anajua Hesabu, Ya Nini Kukomoana Jamani ?Ndio maana nikasema tunaziapply bila hata kujua
Sema huitumii kwa kuwa ulipoishia kwenye kisomo chako ni level ya chini katika nyanja hizo. Ila zinatumika sana tu katika application nyingi sana. Mf K.K.S na K.D.S katika zinatumika katika kufanya mahesabu mengine kuna muda lazima uitumie iwe physics, chemistry au hisabati yenyewe.Log inatumika wap?