Sitak tena math.

Sitak tena math.

Bila maths Hakuna maisha duniani sasa watz ndo maana tunaambiwa uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana matumizi ya maths waulize mafundi Ndo utajua umuhimu wake. KKS na KDS zinatumika kila kona mfano ili kujua idadi ya tyles za kwenye chumba mapishi mfn kilo 1 ya Mchele inatosha watu 4 nk
 
Tatizo wabongo hakili zetu mgando sana.. Hizo kds,kks,tan, cos na vingine tunazitumia kila siki sio kazini tu hata katika mishe mishe zetu za kila siku.

Kwa wanaozielewa wanajua japo application yake unaweza usijue kuwa kuna maths imekuwa involved ila usidanganye watu kuwa hazina matumizi.
tunajua wachache tu mambo hayoo
 
Hizo issue zina uhusiano na karibia kila aspect ya daily life la binadamu. Kwamfano katika ujenzi fundi tu ambae hajasoma shule hata ya msingi katika ujenzi wake lazima atimie sine na cosine kujua uzito wa paa na aweke nguzo ngapi ili jengo liwe stable na paa lisianguke.

Lazima utumie cosines na sines kujua urefu na angles zinazotakiwa ili jengo liweze kuwa imara. Japo ni vitu ambavyo watu wanafanya bila kujua kwamba kuna mathematics wanatumia.
Mleta mada analalamika hesabu hazimsaidii,lakini kawa bingwa wa kupita njia za mkato (anasahau kuwa alisoma hesabu za pembetatu),muda mwingi binadamu anawaza kimfumo wa hesabu,apate hela alipe deni sh ngapi na abakiwe na sh ngapi ili aache sh ngapi ya chakula.Utakimbia hesabu darasani ila utazikuta kwa mkeo atakavyokuwa na matumizi tofauti na kipato chako
 
Back
Top Bottom