Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Huyu D Nob wa elimu biasharaKwani DNob kafariki?
Ninakumbuka wimbo wa 'Elimu Biashara Tutasomaje'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu D Nob wa elimu biasharaKwani DNob kafariki?
Ninakumbuka wimbo wa 'Elimu Biashara Tutasomaje'
Hata sifaham mkuu.Mkuu huyu jamaa yupo wapi siku hizi?
Aisee! Hata mimi nimeshangaa! Huwa Najua huyo jamaa ni mmoja wa wale kaka wakubwa hapa jukwaani. Yaani kwa uchache hapungui birthdays 40.Duh nilikua najua Extrovert ni mkulungwa 😄.
D_Rob (Robert Mwingira) na D_Knob (Innocent Sahani)D-rob na D-nob
Elimu biashara=D nob kama sikosei
Anayewajua naomba anisaidie kunitambulishia yaani kuanzia huyu mwenye kofia kushoto, hadi huyo mwenye t-shirtView attachment 2574319
Wasanii wengi wa zamani wanamtaja sana Hashim Dogo kuliko D Rob.Uyo alievaa kibaragashia mbona kama Erick omondi [emoji23][emoji23][emoji23](Joking) natamani kujua jamaa alikuwa mkali kiasi gani maana naonaga wasanii wengi wa zaman uwa wanamtaja taja kwenye interview nishaskia mara nyingi jina lake
KIBACHAKBC.
Atakuwa wa juzi apa..japo dogo Yuko fasta kupitia nyuzi na kuacha like 👍Duh nilikua najua Extrovert ni mkulungwa 😄.
Wanajua kubet tuunakupinga ndg. usiwatetee hawa watoto wa kizazi hiki. akili yao haipo inquisitive,hawajiongezi.wanataka kila kitu uwatafunie.
kwenye smartphone zao kuna browser au search engine mbalimbali ambazo zinasaidia kutoa taarifa/majibu ya awali kwa swali lolote unalouliza.
shida ni kwamba wengi wao hutumia hizi browser ku-search porno na habari za ujingaujinga zinazohusu udaku.
google search ukiandika tu keyword "kwanza unit", utaletewa link za kundi la kwanza unit, ndani ya hizo link utapata info za kujua D.Rob alikuwa ni nani na je yupo hai au alishafariki dunia.
Kwanza Unit - Wikipedia, kamusi elezo huru
Wasanii wengi wa zamani wanamtaja sana Hashim Dogo kuliko D Rob.