Sitakaa kumsahau mwana D-Rob

Sitakaa kumsahau mwana D-Rob

Anayewajua naomba anisaidie kunitambulishia yaani kuanzia huyu mwenye kofia kushoto, hadi huyo mwenye t-shirt
Screenshot_20230402-203839.jpg
 
Anayewajua naomba anisaidie kunitambulishia yaani kuanzia huyu mwenye kofia kushoto, hadi huyo mwenye t-shirtView attachment 2574319

Uyo alievaa kibaragashia mbona kama Erick omondi [emoji23][emoji23][emoji23](Joking) natamani kujua jamaa alikuwa mkali kiasi gani maana naonaga wasanii wengi wa zaman uwa wanamtaja taja kwenye interview nishaskia mara nyingi jina lake
 
Uyo alievaa kibaragashia mbona kama Erick omondi [emoji23][emoji23][emoji23](Joking) natamani kujua jamaa alikuwa mkali kiasi gani maana naonaga wasanii wengi wa zaman uwa wanamtaja taja kwenye interview nishaskia mara nyingi jina lake
Wasanii wengi wa zamani wanamtaja sana Hashim Dogo kuliko D Rob.
 
Tunakukumbuka daima milele
Iko siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Tunakukumbuka daima milele
Iko siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Aah, ilikua ni tarehe kumi mwezi wa tano
Kama saa sita kamili
Crazy GK ndani ya mchuma
Na drive zangu home
Natoka zangu masaki
Kwa rap master j
Mara lahaula mwanangu
Kufika nyumbani tu nikapokea simu
Je ni nani we mwenzangu
Akasema eti ye ni ndoti
Na slikua ana call moja kwa moja
Kutokea hindumandari hospital
Na akasema crazy GK mambo vipi
Hebu njo upesi hali ni mbaya
Achana na chochote unachokifanya
Njoo umuone basi mshkaji wako dilop
Mzee wa kwanza si utani ebana
Ni serious hurry up please
Kabla mambo hayajawa mabaya
Na hapo ndipo crazy GK nikachukua ndinga
Mhh hadi hospitalini nikapiga nanga
Mlango wa mia na tano ghorofa ya kwanza nikaugonga
Ohh mola wangu kwanini sikuamini hata macho yangu
Lakini ninachokiona kamwe sitakuja kukisahau maishani mwangu
Kumbe kicha ndo alikua anatutoka kitandani alikua kanyooka
Hata nilivyomwita hakuitika
Yo! What's up bro, give me high wake up
Lakini kiichaa haku-respond pale kitandani alikua amekauka
Macho aliyafunika midomo haikufunguka
Kumbe long alikwishatutoka, crazy GK nalia ukiwa, no more ooh sh*t
Tunakukumbuka daima milele
Ipo siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Tunakukumbuka daima milele
Ipo siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Aah, na wala kamwe sitokuja kusahau ile ya mwisho tulivyokutana
Ilikua ni jumamosi mchana
Kibarazani ulikua amekaa chakula cha mchana ukiwa unajichana
Na kwakua ulikua ulifurahi saana
Crazy GK uliponiona na mara ghafla tukaanza kujichana
Mwanzo tulibadilishana ma-freestyle na nyoyo kupeana
Ni mambo mengi tulipatana japo baada ya kuwa bayana
Lob ulikuwa mzima eh, sasa wapi
Crazy GK nakulilia yuwapi masta J, AY
Rudi na john maundo anakutafuta
Hivi ni kweli umeshapotea kiasi ya kwamba hatutakuona tena
This is making me crazy, kweli kifo hauna huruma
Ungeli muacha basi kidogo basi tufanye nae track ya mwisho
Unge muacha basi kidogo tumuone sura yake ya mwisho
Ungelimuacha basi kidigo japo naeapate mtoto mmoja
Ili baba ake na mama ake wakimuona wapate kumkumbuka
Lakini kifo hukompa nafasi na mara ghafla ukamchukua
Tunakukumbuka daima milele
Iko siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Tunakukumbuka daima milele
Iko siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Aah, na sasa ni mwaka mmoja tokea mpenzi tulipo kuzika
Baba ako na mama ako na machizi kibao tunakukumbuka
Lakini majonzi bado yametugubika tukiyamiss mapenzi yako
Hamna tena ushauri wako
Hamna tena na ule ucheshi wako
Hamna tena leo big tunakumiss
Tukiwa bado tunakuhitaji katika ujenzi wa taifa letu
Lakini mapenzi yake mwenyezimungu nayatimizwe
Alitoa na sasa katwaa na maandiko yatimie
Na ingawa sisi bado tupo hai
Lakini njia yetu nimoja
Kifo kinatungoja
Na wala hakiepukiki
Japo inatemeana na aina ya kifo bwana
Wengine watakufa kwa panga
Wengine watakufa kwa shoka
Na wengine watakufa bila style
Any way it does'nt matter coz we all naturally dead
Ingawa kimwili bado tuna survive lakini matendo yako tutayakumbuka
Yale mabaya tutayaepuka na yale mazuri tutayafuata
Tunamuomba mungu ailaze mahali pema
Tena peponi roho yako amina tutaonana tena
Kwani safari bado ni ndefu
Na sisi bado ni wasafiri
Iposiku tutaonana
Aah nenda
Tutakukumbuka daima milele
Ipo siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Tutakukumbuka daima milele
Ipo siku mbele me na wewe
Tutaonana tena mwenzangu
Nenda mpenzi, nenda mpenzi
Nasi tutafuata
Nenda mpenzi, nenda mpenzi
Nasi tutafuata
Nenda mpenzi, nenda mpenzi
Iko siku mbele mi na wewe tutaonana tena
Nenda mpenzi, nenda mpenzi
Iko siku mbele mi na wewe tutaonana tena
 
nakupinga ndg. usiwatetee hawa watoto wa kizazi hiki. akili yao haipo inquisitive,hawajiongezi.wanataka kila kitu uwatafunie.

kwenye smartphone zao kuna browser au search engine mbalimbali ambazo zinasaidia kutoa taarifa/majibu ya awali kwa swali lolote unalouliza.

shida ni kwamba wengi wao hutumia hizi browser ku-search porno na habari za ujingaujinga zinazohusu udaku.

google search ukiandika tu keyword "kwanza unit", utaletewa link za kundi la kwanza unit, ndani ya hizo link utapata info za kujua D.Rob alikuwa ni nani na je yupo hai au alishafariki dunia.

Kwanza Unit - Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanajua kubet tuu
 
Back
Top Bottom