Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kila nikikumbana na wimbo wa Tutakukumbuka wa GK unanikumbusha taswira ya D-Rob (Robert Mwingira).
Nashindwa kuacha kutoa machozi kila nikiusikia wimbo huo.
Nakukumbuka sana brother, 2001 kumbukumbu ambayo itaishi daima maishani mwangu.
Kwa wafuatiliaji wa muziki wa miaka 90 watamkumbuka mwana. Amekuja sana leo mawazoni mwangu. Those were the golden days of our era.
Alale pema peponi, siku moja tutaungana na wapendwa wetu 🙏🏾.