Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Achana nae huyu anakuonea wivu namna unaenjoy kuelezea furaha yako. Achana nae.Umepata raha kunijibu hv?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyu anakuonea wivu namna unaenjoy kuelezea furaha yako. Achana nae.Umepata raha kunijibu hv?
Sanaaaaa lile tangazo halitakuja kutokea. Hatari! Ni msisimko kila sehemu duniani. Niamini hata kuna jamaa zangu ni waislam na wanalipenda sana tangazo lile. Yaani linavutia na kuamsha msisimko fulani si wa kawaida.Hili tangazo ni kiboko. Nilienda YouTube nikalikuta. Zile comment za wazungu utadhani na wao walikuwa wanaishi bongo na waliliona tangazo kupitia ITV.
Maana wanachoongea na walicho experience ni kile kile. Wanaongelea namna Christmas ya mwaka 1998 na ya 1999 zilikuwa ni best of Christmas seasons ever.
Tangazo lilitengenezwa kiufundi sana na idea ilikuwa bomba sana na ilikuwa ina amsha spirit ya Christmas balaa. Yale mataa kila kona, yale ile convoy ya malori yenye mataa na ule wimbo was bonge la combination. Yaani team ambayo iliproduce ile advert is one of the best producing teams ever.
Nikalipost kwenye status, simu ilijaa comments za status kila mtu lile tangazo lilimsisimua upya na kumkumbusha miaka ile. Aiseeee.
Ninalo. Ngoja nicheki kwenye laptop nadhani niliweka huko. Ila lipo ninalo. Yapo mengi ila lile limetengezwa kipekee sana.Hapana sio hili kabisa...nisamehe ila hata hili halivutii
Kabisa wanangu kibao maustaadhi nilipopost lile tangazo dah niliwapeleka mbali sana kihisia maana wakakumbuka enzi zile za miaka ya 1998 na 1999ITV sikukuu lazima waweke movie raia tunapiga wali mchafu huku tunamtazama Rambo akitembeza mkong'oto kwa watu waliomchokoza.Sanaaaaa lile tangazo halitakuja kutokea. Hatari! Ni msisimko kila sehemu duniani. Niamini hata kuna jamaa zangu ni waislam na wanalipenda sana tangazo lile. Yaani linavutia na kuamsha msisimko fulani si wa kawaida.
Hebu nilione nami nisisimkeHili tangazo ni kiboko. Nilienda YouTube nikalikuta. Zile comment za wazungu utadhani na wao walikuwa wanaishi bongo na waliliona tangazo kupitia ITV.
Maana wanachoongea na walicho experience ni kile kile. Wanaongelea namna Christmas ya mwaka 1998 na ya 1999 zilikuwa ni best of Christmas seasons ever.
Tangazo lilitengenezwa kiufundi sana na idea ilikuwa bomba sana na ilikuwa ina amsha spirit ya Christmas balaa. Yale mataa kila kona, yale ile convoy ya malori yenye mataa na ule wimbo was bonge la combination. Yaani team ambayo iliproduce ile advert is one of the best producing teams ever.
Nikalipost kwenye status, simu ilijaa comments za status kila mtu lile tangazo lilimsisimua upya na kumkumbusha miaka ile. Aiseeee.
Usijali mkuu mi ni mtu mzima...Achana nae huyu anakuonea wivu namna unaenjoy kuelezea furaha yako. Achana nae.
Licheki hapo juu...Bebu nilione nami nisisimke
Safi mkuuhapo kwenye nguo aisee ilikua ni balaaMleta mada umeshare nasi very emotional memory. Kimsingi hili tangazo linagusa watu wengi maana lilitukuta kipindi kizuri sana cha mwaka.
Mimi hili tangazo nakumbuka miaka hiyo nikiwa bwana mdogo, ilikuwa ni alhamisi kama sio ijumaa but ilikuwa weekend fulani.
Mzee alileta mbuzi wa kutengenezwa sikukuu hiyo. Mbuzi aka kata kamba akatoka nduki. Tulimkimbiza kutafuta tokea saa 4 jioni hadi saa kumi na mbili hatukumpata. Tukawa tunarudi home tukakuta na dingi ndio anarudi toka town kabeba mti wa Christmas (ile mibichi) na mapambo ya sikukuu maana ilikuwa lazima mti uletwe siku moja au mbili kabla ya sikukuu yaani tarehe 23 au tarehe 24 kabla ya tarehe 25 December.
Tukaushusha tukauweka ndani nakuanza kuuandaa na kufunga mataa na mapambo yake. Akarudi tena mjini kutafuta mbuzi mwingine akatuacha tunapamba. Tukapamba sana hadi mida ya saa mbili mbili usiku hamu ya kula haipo hapo tunasubiria tutolewe nguo mpya na viatu tukazijaribu.
Mida ya saa tatu nikatoka na masista na majirani tukaenda zetu church mkesha maana misa ya Asubuhi kwenda mtihani hapo natarget niwahi kurudi nitazame movies zilikuwa zinawekwa usiku ITV.
Tumerudi mkesha kama saa sita usiku nimekaa zangu sebuleni nakula movie yale mataa taa ya Christmas, mti unawaka na mataaa sebule inawaka kwa mapambo hilo tangazo linaonyeshwa ITV mida hizo. Sasa ile feeling yake hadi leo haijanitoka inakufanya uhisi kama upo peponi.
Kama sio wa miaka ile huezi kuelewa kabisa tunachoongea those moment was classicKabisa wanangu kibao maustaadhi nilipopost lile tangazo dah niliwapeleka mbali sana kihisia maana wakakumbuka enzi zile za miaka ya 1998 na 1999ITV sikukuu lazima waweke movie raia tunapiga wali mchafu huku tunamtazama Rambo akitembeza mkong'oto kwa watu waliomchokoza.
Sasa in between mnakula tangazo.
Yap mkuuNinalo. Ngoja nicheki kwenye laptop nadhani niliweka huko. Ila lipo ninalo. Yapo mengi ila lile limetengezwa kipekee sana.
Si lile mwishoni kuna mdingi yupo kwenye pick up yake ya rangi ya blue nadhani na mtoto wake wa kiume wamesimama yale malory yanapita mbele yao hivi, dogo anakuwa anayachungulia kwa dirishani?!
Linaanzia kama msituni kuna miti mingi halafu kumejaa snow. Kisha zinaibuka zile lorries zimejaa mataa kila zinapopita mataa yanawaka miti inawaka mataa na Christmas Ornaments/Christmas bubbles zinatokea kwenye miti
Nimekukumbusha mbali broNilikuwa std 5 by then. Huwa naliangalia mara kwa mara youtube. Cocacola caravan
Hii naifanyaHili tangazo ni kiboko. Nilienda YouTube nikalikuta. Zile comment za wazungu utadhani na wao walikuwa wanaishi bongo na waliliona tangazo kupitia ITV.
Maana wanachoongea na walicho experience ni kile kile. Wanaongelea namna Christmas ya mwaka 1998 na ya 1999 zilikuwa ni best of Christmas seasons ever.
Tangazo lilitengenezwa kiufundi sana na idea ilikuwa bomba sana na ilikuwa ina amsha spirit ya Christmas balaa. Yale mataa kila kona, yale ile convoy ya malori yenye mataa na ule wimbo was bonge la combination. Yaani team ambayo iliproduce ile advert is one of the best producing teams ever.
Nikalipost kwenye status, simu ilijaa comments za status kila mtu lile tangazo lilimsisimua upya na kumkumbusha miaka ile. Aiseeee.
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeSiwezi kusahau wimbo tutaisoma namba ccm mbele kwa mbele.tokea siku hiyo ikifika uchaguzi najua ni wizi tu na ufisi
Huo Ndiyo Wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
Sawa. Ngoja nilitafute nitaliweka hapaBebu nilione nami nisisimke