mountain climber
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 311
- 461
Pole sanaa nyuma mwiko...unakuja na gear zako Ili tusikupopoe...kajipange upya...hujawahi kuwa mwana AZAM💀 shabiki kama wewe siwezi jibu.
hata macho yako ayaoni, what's fair what's not fair.
ukweli bado utaukataa.
azam fc ni timu ya kupuuzwa, useless.
move on. tuishie hapo
nope. mimi nilikuwa close na azam fc sana. jana ndo nimejua michezo yao.Umeliwa pesa ngapi kwenye kamari (betting)?
Kwa habari za kocha ni kweli uliweka hapa JF. Hongera ila sijajua nini shida mkuu hadi kufikia uamuzi huo?cheki thread zangu, hadi kocha wa Azam fc mimi ndo nine leak news zake,
amna mchambuzi alikuwa anajua ni nani
weka pesa kwa azam at ur own risk, 😂😂. wao wa nawaza mengine shabiki unaweka. kuna kitu nimechelewa tu kujua. ningejua ninge bet nyumba .Wee sema kweli, naona kama vile ni diki jipya niwashtue black hat professionals tuingie mzigoni😁
Kwa hapo kutoka moyoni bro unamuonea. Kweli threads zake ni mwana lambalamba.Pole sanaa nyuma mwiko...unakuja na gear zako Ili tusikupopoe...kajipange upya...hujawahi kuwa mwana AZAM
Tena ukute ni mzee mzimaWakae na PB machine karibu , na nifedipine wasije anguka stroke 😁
Aah totoo kuwa na adabu kwa timu ya wananchi😥Huyo ni uto😁
Azam haijawahi kuwa na mashabiki bro...shabik wa Azam ni either yupo Simba au yanga periodKwa hapo kutoka moyoni bro unamuonea. Kweli threads zake ni mwana lambalamba.
soma thread utaona over view, mechi ilikuwa geresha, kocha tu ndo alikuwa ajui.Kwa habari za kocha ni kweli uliweka hapa JF. Hongera ila sijajua nini shida mkuu hadi kufikia uamuzi huo?
Za ndani hizo zinasemaje?
Nitakununulia BP machine usijali kumbe wewe ni uto😁Aah totoo kuwa na adabu kwa timu ya wananchi😥
Yani watoe jasho kwa geresha...acha kupanick bro...💀 shabiki kama wewe siwezi jibu.
hata macho yako ayaoni, what's fair what's not fair.
ukweli bado utaukataa.
azam fc ni timu ya kupuuzwa, useless.
move on. tuishie hapo
Mbona Azam wamelalamika magoli ni offside na oicha wameonesha?nope. mimi nilikuwa close na azam fc sana. jana ndo nimejua michezo yao.
azam na simba wanashirikiana kuipa simba ushindi. tena watu wapo in day to day activities za club,
I stopped there. nisije ongea mengi.
Analilia mkeka umechanwa huyo😁Yani watoe jasho kwa geresha...acha kupanick bro...
Wangekua ni timu yako ya utopolo usingesema kitu...
Salamaleko😊nilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc,
2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa.
3. sitaki kuhusishwa na chochote cha azam fc. chochote, nipo close na watu wa ndani ya azam fc. group nimetoka, sitaki kusikia hata mechi azam fc
4. kama kuna mtu niligombana nae kisa mpira au azam fc, am sorry. hii timu ni ya wajinga tu.
5, ukiwa shabiki wa azam fc automatically ni mjinga, matokeo yao wanapanga ghettoni wewe unashabikia huku, timu ipo kuuza unga na ukwaju. wew shabiki tafuta timu ushabikie.
hata nikilipwa siwezi tena shabikia azam fc,
6. sina tena heshima na azam fc, ni useless club, hata wafanye vipi, ni club ya kupuuzwa, siji tena kulipia derby ya azam fc na timu za kariakoo.
AZAM FC NI TIMU YA KUPUUZWA.
Kwamba yanga inanipa raha mpaka itaniua kwa raha🤣🤣Nitakununulia BP machine usijali kumbe wewe ni uto😁
Tokea lini ukawa Azam ,ww Kolo FC.nilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc,
2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa.
3. sitaki kuhusishwa na chochote cha azam fc. chochote, nipo close na watu wa ndani ya azam fc. group nimetoka, sitaki kusikia hata mechi azam fc
4. kama kuna mtu niligombana nae kisa mpira au azam fc, am sorry. hii timu ni ya wajinga tu.
5, ukiwa shabiki wa azam fc automatically ni mjinga, matokeo yao wanapanga ghettoni wewe unashabikia huku, timu ipo kuuza unga na ukwaju. wew shabiki tafuta timu ushabikie.
hata nikilipwa siwezi tena shabikia azam fc,
6. sina tena heshima na azam fc, ni useless club, hata wafanye vipi, ni club ya kupuuzwa, siji tena kulipia derby ya azam fc na timu za kariakoo.
AZAM FC NI TIMU YA KUPUUZWA.
Ilivyofungwa na APR ilipsnga kumbenilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc,
2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa.
3. sitaki kuhusishwa na chochote cha azam fc. chochote, nipo close na watu wa ndani ya azam fc. group nimetoka, sitaki kusikia hata mechi azam fc
4. kama kuna mtu niligombana nae kisa mpira au azam fc, am sorry. hii timu ni ya wajinga tu.
5, ukiwa shabiki wa azam fc automatically ni mjinga, matokeo yao wanapanga ghettoni wewe unashabikia huku, timu ipo kuuza unga na ukwaju. wew shabiki tafuta timu ushabikie.
hata nikilipwa siwezi tena shabikia azam fc,
6. sina tena heshima na azam fc, ni useless club, hata wafanye vipi, ni club ya kupuuzwa, siji tena kulipia derby ya azam fc na timu za kariakoo.
AZAM FC NI TIMU YA KUPUUZWA.
Azam sio timu Bakhressa aturudishie ile Azam ya kipindi kile ilichukua mpaka ubingwa hawa madogo namna gan speed hawana sijui wanakula sana ice cream za ukwaju yaan fitness zero mikimbio sifuri kasi ya kusukuma gozi ziro hawakabi pass wanapoteza ovyo wakishika mpira muda mfupi wanapoteza Bakhressa tufanyie mpango ufumue fumue hii timu mzeewetu mashabiki tunapoteza imani nayo kabisa azam sio ya kufungwa na makolo vile yaan unaona kabisa wanaacha wafungwe sasa sijui wamenyimwa posho au namna gani hawachezi kufia uwanjani wanacheza mradi tu kucheza assist ziro mitupio sifuri kuzuia ball sifuriyanga au simba.
soon nita chagua mmoja. azam FC sio club . uwezi kuwa shabiki wa club matokeo wanapanga ghettoni
Jana Azam ilibidi ishinde watu Simba imeshinda wamevuna mamillioni Jana makampuni ya kamari mengi yameliwa hela nyingi sanaIlivyofungwa na APR ilipsnga kumbe