Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Ningependa kuona wakosaji wote wakishughulikiwa kwa mujibu wa sheria bila kujali itikadi zao siasa.
Ninaona kwanini hawa '' wa Chadema'' unaosema, wamefikia hatua hiyo.

CCM na serikali yake imejenga ''bad precedent and double standards'' kiasi kwamba hakuna mwenye imani.

Mfano, ukiwa mwizi huna pesa utahukumiwa miaka, ukiwa mwizi wa pesa ndefu utahukumiwa kulipa faini!!!

Ukiwa hohehahe ukakamatwa na kucha za simba, utakula miaka. Ukiwa Mbunge na pembe za ndovu-lipa faini.

Ukienda kwa kundi kurudisha fomu za uchaguzi umevunja sheria. Mkurugenzi aliyekimbia ofisi ana udhuru!

Unapokuwa na mambo kama haya nani atakuamini hata kama unatenda kwa dhamira njema?

Kwahiyo tusiwalaumu hao vijana , tuangalie pia mistrust iliyopo katika justice system na ukweli kuwa lady hayupo
 
Angalau wewe umeelezea hilo jambo kwa mantiki!

Ila hawa CHADEMA waliomo sidhani kama hiyo uliyoielezea wewe ndo ‘rationale’ yao.

Wao [hawa CHADEMA waliomo humu] wanaona kuwa wewe ukiwa upande wao basi hupaswi kushughulikiwa.

Wanaopaswa kushughulikiwa ni wengine, wale wa upande mwingine.

Jambo ambalo mimi nalikataa kabisa.
 
Sasa hapa unapinga au unalalamika?
 
Pathetic.
 

Attachments

  • 2506942_VID-20200828-WA0015.mp4
    2.9 MB
Chukua hili hapa

 
Nimesoma post naona hakuna hoja ya msingi zaidi ya ushabiki wa kisiasa!
 
Nimesoma post naona hakuna hoja ya msingi zaidi ya ushabiki wa kisiasa!
Lofa ni yule asiye na Sera ila kudhihaki viongozi na baadaye kujenga vioja kwa kudandia Sera zisizo za chama chake pasipo kuelewa na jinsi gani zimeibuliwa na zitatekelezwa
 
Hivi nyani ngabu ulipanga wewe kuzaliwa au ilikuwa ni bahati mbaya?
Nimewahi kukuona ukijinasibu kuwa wewe ni msomi mzuri sana, kama ni kweli hujaelimika hata chembe.
Ni vyema ujitafakari ktk maandiko yako huenda utajua yapi ya kuandika kama msomi (kama unavyojiita wewe) ili kulinda usomi wako.
 
Chadema ni matapeli ya kisiasa safari hii tutawapeleka shule baada ya October tutaanza histotia bila hawa wahuni wa kisiasa



SHULE YENYEWE NDIO HII
 

Attachments

  • Anguko la ma CCM.mp4
    5.7 MB
Makamanda wengi wako intolerant kuhusu diversity of thought...
...hamna mtu yuko na intorerance of thought kama jiwe....wewe mkabila wa huko kwa jiwe hili unalijua lakini uko blind...kwa kuwa mmeshikwa pabaya...you are so desperate...hamkutegemea anayofanya lissu ..poleni ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…