Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.

Kwa nini nasema hivyo?

Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.

Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.

Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.

Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.

Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.

Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.

Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?

Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.

Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.

All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
 
Sasa chadema itashindaje kama mtu analeta picha kama hii nakusema hapo ni Iringa na Lisu kaifuta ccm Iringa leo hii?

Hivi ni sehemu gani Iringa kuna minazi?

Chadema hii ya Lisu ni aibu tupu
20200913_144101.jpg
 
[QUOTE="Crimea, post: 3]
Sasa chadema itashindaje kama mtu analeta picha kama hii nakusema hapo ni Iringa na Lisu kaifuta ccm Iringa leo hii?

Hivi ni sehemu gani Iringa kuna minazi?. Hapo sasa Muulz mtoa post
 
Chadema ni kundi la wahuni.. kamwe MUNGU hawezi kuwafikisha mbali ktk nchi hii

Watu gani kila wakiongea wanafoka tu wala hawasemi la maana,yaani kila ukiwasikilizaa unaona wazi kua wana uchu wa madaraka tu kutafuta mamlaka na pesa na si uchungu wa wananchi

Kutwa kucha hoja za mgombea wao ni kumsema Rais na kutuambia mambo ya risasi alizopigwa,hasemi atawafanyia nini wananchi..akijitahidi kuongea jambo analiongea ktk mlengo wa kiulaya,hapa ni Afrika,hapa ni Tanzania nchi yetu nzuri na hatuna haja na maisha ya watu wa ulaya

JPM na team yake watapita nina hakika tena kwa asilimia kubwa sana maana wananchi walio wengi walisha muelewa vzr na hawapo twitter wala jf ambako ndo ziko siasa za wahaini hawa.
 
Back
Top Bottom