Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Jinsi nyani gabu alivyobadilika itikadi,,sijajua hasa nini kilimpata hutu mnyantunzu....
 
Wewe upende , usipende wenye maamuzi sio wewe ni hawa hapa
IMG_20200910_181034_6.jpg
 
Inawezekana kipindi hicho kilikuwa kinamvutia hicho chama na sasa anakiona kimepoteza direction kuanzia wapenzi wa chama mpaka viongozi wake ndio maana kawaama
No man,the change was so sudden..it is like an imposter is using his account nowdays,
 
Unakumutwa wewe. Kama kweli unapenda nchi iongozwea kwa misingi ya katiba na sheria ungehamia CHADEMA. CCM na serikali yake wamevunja sana misingi ya katiba na sheria. Mfano mmoja mkubwa ni kutumia pesa ya uma kujenga uwanja wa ndege Chato bila ridhaa ya bunge.
Tangu lini chadema inajiongoza kwa sheria na katiba?
 
Hivi nyani ngabu ulipanga wewe kuzaliwa au ilikuwa ni bahati mbaya?
Nimewahi kukuona ukijinasibu kuwa wewe ni msomi mzuri sana, kama ni kweli hujaelimika hata chembe.
Ni vyema ujitafakari ktk maandiko yako huenda utajua yapi ya kuandika kama msomi (kama unavyojiita wewe) ili kulinda usomi wako.
Ni wapi uliwahi kuniona mimi nikijinasibu kuwa ni “msomi mzuri sana”?

Nionyeshe, tafadhali.

Ukishindwa kunionyesha, utakuwa ni mzushi tu.

Haya nionyeshe...
 
...hamna mtu yuko na intorerance of thought kama jiwe....wewe mkabila wa huko kwa jiwe hili unalijua lakini uko blind...kwa kuwa mmeshikwa pabaya...you are so desperate...hamkutegemea anayofanya lissu ..poleni ...
Lisu amefanya yapi mkuu?
 
Back
Top Bottom