Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.
Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.
Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.
Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.
Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.
To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.