Uchaguzi 2020 Sitaki kuamini CCM hawakuyaona haya

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
 
Kumbuka kwamba CCM haipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa state organs. Term ya pili ya Kikwete, Slaa ndiye aliyeshinda. First term ya Magufuli, EL ndiye aliyeshinda.

Ni tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaoiweka CCM madarakani. Mwaka huu lazima tutafute dawa ya hivyo vyombo wanavyotumia kubaki madarakani.
 
Hiyo dawa Imeshepatikana na ndio maana ccm wanahaha,.yaani wamepoteana kabisa, Mungu akiweka mkono wake mahali hakuna wa kumzuia asante Yesu wa Nazareth.
 
Ila wengi tulijua CCM mkiti, hatohitaji kupanic, uchaguzi utakuwa mteremko, aisee, ni kinyume, mkiti kapaniki, imebidi warudi Idodomya kujipanga upya.

Kweli ngazi ile uliyopandia ndiyo ile utakayoshukia. Yanayojiri ni kiashiria tosha, watu hawapendi dharau!
Cake ya taifa unakulaje peke yako wewe na familia na jamaa yako tu??

Kodi za watanzania anasema yeye ametoa bilions, as if zinatoka mfukoni kwake!
Hiyo miradi anafikiri kwann wenzake walikuwa wanaiangalia wanaiacha??

Walijua itagharimu, wananchi watakuwa na maisha magumu!

Polepole Bashiru wamepwaya yaani hao wawili ni sawa rHashimu Rungwe mmoja.
Hatujajua mpaka sasa kauli mbiu ni nini??
Tz ya vi-wonder??
Hapa kazi tu??
Pambana na hali yako??

Everyday is Saturday................................ 😎
 
CCM bado inaishi katika ulimwengu wa kusadikika, kwa kuwa iliwekeza zaidi ktk akili za wajinga wengi. Na hili ndilo kundi ambalo imelihadaa kwa muda mrefu na hata kuendelea kubaki madarakani.

Ujio wa shule za kata umeleta kundi la vijana wenye kujielewa na kubakia na kundi dogo la wajinga wenye umri mkubwa ambalo linazidi kutokomea kwa kasi ya ajabu. Hayo mabango kusema ukweli hata hayavutii, hata wale wenye kuyaweka wanatambua ukweli huu.

Hii ndiyo maana wanatambua kuwa wanakwenda ktk kampeni za uchaguzi wa CCM ili wapate kuwaona na kiwasikiliza wasanii wa muziki na bongo fleva, lkn ktk akili zao na mioyoni mwao wanamtambua TAL ndiye tumaini la maisha yao ya baadaye. Ni muda umefika sasa mavazi na nembo zote za CCM kuhifadhiwa ktk jumba la makumbusho ya taifa, ili vizazi vijavyo vikapate kuiona na kulinganisha "connectivity" yake na utawala ule wa mfalme Mangungo wa Msovero ktk kutetea na kulinda rasilimali za nchi yetu.
IMG-20151022-WA0031.jpeg
 
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.

Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5 kutafanya wananchi wawe na njaa & kiu kubwa sana ya kusikiliza upande wa pili wa shiling.

Kwamba kizazi cha sasa hakidanganywi kwa propaganda za aki na ukwa kama mwaka 1980.

Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.

Sitaki kuamini haya na mengine mengj mlikuwa hamyajui. Poleni sana.

To Every Action, There is Equal and Opposite Reaction.
Sasa wamesababisha watanzania kutazama vyombo vya nje zaidi. Tv na magazeti yetu vimesusiwa sana sana labda wafungie maandazi. Hii ni hasara
 
Kumbuka kwamba CCM haipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa state organs. Term ya pili ya Kikwete, Slaa ndiye aliyeshinda. First term ya Magufuli, EL ndiye aliyeshinda.

Ni tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaoiweka CCM madarakani. Mwaka huu lazima tutafute dawa ya hivyo vyombo wanavyotumia kubaki madarakani.
Tumewaza sawa mkuu, hata huko kwenye hizo cohesive bodies kwenyewe sasa hivi kuna joto la kutaka kuishi kama viapo vyao vitakavyo.
 
Kwamba watu wengi sasa hawategemei tv na redio na magazeti kama njia ya kupata habari hasa za kampeni na uchaguzi. Na watanzania walivyo wafukunyuku basi habari zote wanakuwa nazo hata kabla ya taarifa ya habari saa 2 usiku.
 
Magazeti yote ya Leo hayajataja mwenendo wa kampeni za Lissu jana bali wameandika kuhusu Polepole jana. Ukiona Lissu au Zitto au CHADEMA au ACT ni kwamba wanataja dongo alilotoa Polepole kwa mtu au Chama husika.
 
Kumbuka kwamba CCM haipo madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali kwa state organs. Term ya pili ya Kikwete, Slaa ndiye aliyeshinda. First term ya Magufuli, EL ndiye aliyeshinda.

Ni tume ya uchaguzi na polisi ndiyo wanaoiweka CCM madarakani. Mwaka huu lazima tutafute dawa ya hivyo vyombo wanavyotumia kubaki madarakani.
Nimekuelewa sana kwa hiyo paragraph ya kwanza. CCM wamechokwa, awe Magufuli au chama chenyewe wote hawatakiwi.
 
Magazeti yote ya Leo hayajataja mwenendo wa kampeni za Lissu jana bali wameandika kuhusu Polepole jana. Ukiona Lissu au Zitto au CHADEMA au ACT ni kwamba wanataja dongo alilotoa Polepole kwa mtu au Chama husika.
Vyombo vyetu vya habari vyote vimetekwa na ccm, Jana polepole kaenda Live masaa mengi tu akiwa na chaneli ten na TBC1, wakati wagombea wengine hawapewi nafasi hyo.mbaya zaidi viongozi wetu wa dini wako kimya tu kuhusu uminywaji wa haki hizi.TBC1 inaongoza kuvunja haki za vyama vingine kupewa Live coverage.Msajili wa vyama yuko kimya, mwenyekiti wa tume Yuko kimya.Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kwa taifa letu sasa.
 
Sasa wamesababisha watanzania kutazama vyombo vya nje zaidi. Tv na magazeti yetu vimesusiwa sana sana labda wafungie maandazi. Hii ni hasara
Yule anayeitwa Abasi kazi yake kuu ni kufungia vyombo vinavyoikosoa ccm na kuvikumbatia vyombo vya habari vinavyoipamba ccm.kiukweli Mimi nitampigia kura lissu ili kurudisha haki, amani, Uhuru na umoja kwa taifa letu.
 
CCM wanajua sehemu ya kumalizia mchezo. Vuguvugu la 2015 lilikuwa kubwa kuliko hii ya Lissu ila Nchi ilikuja kusinyaa kwa huzuni na simanzi mara tu baada ya Lubuva kutangaza matokeo yake

Todate, ukiwauliza watu kumi ni nani alimpigia kura Magufuli, hawazidi watatu. What happened? Will they do it again kwa kuwa hakuna kilichobadilika as far as muundo wa Tume na sheria zake is concerned?

I hope think-tank ya CHADEMA wana massive plan B kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Kupumbazwa na kushangilia hizi nyomi bila plan na kutegemea kupiga kura tu na kusubiri matokeo nyumbani ni moja ya case ya “keeping doing the same thing and expecting different (better) outcome”
 
Back
Top Bottom