skunk
Senior Member
- Aug 11, 2013
- 166
- 27
hodiii kwanza kabisa naomba mnikaribishe kwenye hili jukwaa but nimeonelea nitoe la moyoni kwa wadau maana now days nimekuwa addicted sana na jf kiasi kwamba nasahau mpaka ku do na ma baby na kuna kipindi kasimu kangu nusu kavunjwe na bibie kisa jf nawapongezeni ma senior members kwa kufanya huku kuwe tofauti na kokote kule