sitaki kuamini eti jf ni sehemu ya furaha yangu

skunk

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
166
Reaction score
27
hodiii kwanza kabisa naomba mnikaribishe kwenye hili jukwaa but nimeonelea nitoe la moyoni kwa wadau maana now days nimekuwa addicted sana na jf kiasi kwamba nasahau mpaka ku do na ma baby na kuna kipindi kasimu kangu nusu kavunjwe na bibie kisa jf nawapongezeni ma senior members kwa kufanya huku kuwe tofauti na kokote kule
 
Karibu....
Yaani huwa una du na simu mkononi...
 
jf inakusahaulisha ku du... kweli we kiboko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…