Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

Kali kuliko zote ni Mungu kutegemea kupewa pesa na binadamu, na hapa dini zote hawapingani katika hili.

Ukiona utitiri wa makanisa tu kama una akili timamu unaelewa wazi hizi ni deals za watu.
 
Inawezekana wanatambua ili sisi ndiyo hatutambui kwamba wanatambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…