Sitaki kuamini kwamba Genge la Wasiojulikana lipo ndani ya TISS. Ila ni kwanini TISS imenyamaza na inaendelea Kuyanyamazia haya Matukio?

Sitaki kuamini kwamba Genge la Wasiojulikana lipo ndani ya TISS. Ila ni kwanini TISS imenyamaza na inaendelea Kuyanyamazia haya Matukio?

Hivi inawezekana kwamba watu walipewa dhamana ya usalama wa wananchi wa Taifa letu halafu wao wakatumika kinyume chake?

Kwamba watumike kutesa watu , kuwaua n.k?

Kwanini wasijikite ktk kusimamia haki ? Mkosaji afikishwe mahakamani na kuamuliwa kama mkosa au la?
 
Tutakumiss sana diwani na zile trip zako za kila ijumaa pale malindi
 
Kwani Yule Jamaa Mfanyabiashara aliyetaka kuwaua wasiojulikana mpaka Adam Malima akaja kusema ni Watu wao wa IDARA.
 
Back
Top Bottom