Hivi inawezekana kwamba watu walipewa dhamana ya usalama wa wananchi wa Taifa letu halafu wao wakatumika kinyume chake?
Kwamba watumike kutesa watu , kuwaua n.k?
Kwanini wasijikite ktk kusimamia haki ? Mkosaji afikishwe mahakamani na kuamuliwa kama mkosa au la?