Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuleta hii taarifa umechukua hatua gani ya kuzuia hiyo kadhia ya kutumikisha watoto!Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
Nimeuliza umri huo ni sahihi kufanya majukumu hayo kama wafanyakazi wa kulipwa?Mtoto ukimpa sh.7000 anaweza kufanya karibuni kitu chochote.( Najua kwa sababu nimewahi kuwapa hela watoto)
Wewe unalalamika nini?
Unataka "kuwaokoa"watoto wasipate sh. 7000?
With friends like these who needs enemies?
Songea manicipal na watoto baadhi nawajuwa.Wapi na nani anayefanya hivyo??
SawaUjira kwa watoto ni kosa kisheria, nadhani ingekuwa bora kama ungemripoti huyo Jangiri.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kupata jina la boc si kazi subiri.Wapi na nani anayefanya hivyo??
Shida ni kulipwa au kufanyishwa kazi?
Huwa hamtumii akili zebu vizur, mnataka kulinganisha maisha ya watoto wa nchi za ulaya na hawa watoto wa uswahilini walio telekezwa kwa Bibi ambaye hata kuona tu ni shida na hawana hata uhakika wa mlo wa siku , sasa mtoto huyo tena miaka 12+ akipata kazi ya malipo akale na Bibi yake kuna tatizo gani ? Kwa mtazamo wangu siioni tatizo as long as wamelipwa bila dhuluma.Ujira kwa watoto ni kosa kisheria, nadhani ingekuwa bora kama ungemripoti huyo Jangiri.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sheria za kazi zinakataza ajira kwa watoto no matter the circumstances. Ingekua ni kazi ya kawaida tungeweza sema ni sawa kwa sababu wapo kwenye stadi za maisha hivyo hawaathiriwi na lolote. Lakini ukiingiza malipo inamaana ni mkataba ivyo utamlazimisha afanye kazi pengine hata kuzidi uwezo wake ivyo inakua ni shuruba na sio kazi tena.Huwa hamtumii akili zebu vizur, mnataka kulinganisha maisha ya watoto wa nchi za ulaya na hawa watoto wa uswahilini walio telekezwa kwa Bibi ambaye hata kuona tu ni shida na hawana hata uhakika wa mlo wa siku , sasa mtoto huyo tena miaka 12+ akipata kazi ya malipo akale na Bibi yake kuna tatizo gani ? Kwa mtazamo wangu siioni tatizo as long as wamelipwa bila dhuluma.
Tokeni zenu huko Acheni kujifanya hamjui maisha halisi ya watanzania na waafrica kwa ujumla huko vijijini ,sheria zingekuwa Mali basi zingekuwa zinawalisha bure wasio jiweza ili wasifanye kazi utotoniSheria za kazi zinakataza ajira kwa watoto no matter the circumstances. Ingekua ni kazi ya kawaida tungeweza sema ni sawa kwa sababu wapo kwenye stadi za maisha hivyo hawaathiriwi na lolote. Lakini ukiingiza malipo inamaana ni mkataba ivyo utamlazimisha afanye kazi pengine hata kuzidi uwezo wake ivyo inakua ni shuruba na sio kazi tena.
Wewe utakua na matatizo ya akili. Mimi nimetoa ufafanuzi wa sheria ya kazi kwa watoto. Mimi sio mmiliki wa sheria na ni mtu wa kawaida choka mbaya. Mbona kunishambulia ivyo?Acheni kujifanya hamjui maisha halisi ya watanzania na waafrica kwa ujumla huko vijijini ,sheria zingekuwa Mali basi zingekuwa zinawalisha bure wasio jiweza ili wasifanye kazi utotoni
Yaan mtoto Hana uhakika wa Kula kapata kazi apate chakula mnakuja na kujifanya eti sheria sheria! wakati mkiwakuta njian wanaomba mnawapita kama hamuwaoni, acheni upuuzi huo. Acheni watoto wasio jiweza wapambane kutafuta rizki ili waishi msilete ujuaji wenu hapa wakati hamuwapelekei hata kikombe cha chai huko makwao
Sio uchungu anakuambia ukweli, kuna watoto katika umri huo wametelekezwa, hawana mtu wa kuwaangalia, hawajui kesho yao. Hawajui wanavaa nin wala wanakula nin unataka wafanyeje?? We unadhan kuna mzazi anayekubali mtoto wake atumikishwe? Ukiona wanafanya hizo kazi means hawana matunzo wanajitunza wenyewe.Wewe utakua na matatizo ya akili. Mimi nimetoa ufafanuzi wa sheria ya kazi kwa watoto. Mimi sio mmiliki wa sheria na ni mtu wa kawaida choka mbaya. Mbona kunishambulia ivyo?
Anyways inaonekana una uchungu nao sana, wewe mpaka sasa umesaidia wangapi au umefanya nini kuwasaidia?
Hili swala watu mmechukulia very personal na wakati mimi nimezungumza sheria. Haimaanishi mimi sijui mimi nimesema nini sheria inasema. Sasa mnavyonijia juu utafikiri mimi ndio mshika msumeno.Sio uchungu anakuambia ukweli, kuna watoto katika umri huo wametelekezwa, hawana mtu wa kuwaangalia, hawajui kesho yao. Hawajui wanavaa nin wala wanakula nin unataka wafanyeje?? We unadhan kuna mzazi anayekubali mtoto wake atumikishwe? Ukiona wanafanya hizo kazi means hawana matunzo wanajitunza wenyewe.
Jaribu kuongea na hao watoto ujue kwanin wanafanya hivyo, ndo utaelewa. Sheria ni maandishi tu, kt real life kuna mambo yake huko.
Nyie ndio mnaodekeza watoto yakikuwa yanakuwa mashoga toto hata kazi haliwezi. Kwani shida ipo wapi?Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?