polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kwani wewe huijui sheria nyingi ni kwa ajili ya kuendelea kuwafanya maskini kuwa maskini zaidi?Wewe utakua na matatizo ya akili. Mimi nimetoa ufafanuzi wa sheria ya kazi kwa watoto. Mimi sio mmiliki wa sheria na ni mtu wa kawaida choka mbaya. Mbona kunishambulia ivyo?
Anyways inaonekana una uchungu nao sana, wewe mpaka sasa umesaidia wangapi au umefanya nini kuwasaidia?
Nilicho Fanya Mimi kuwasaidia NI kuwapa kazi na wakimaliza nawalipa pesa wananunulie madaftari na kalamu za shule huo ndio msaada wangu mkubwa ,
hizo drama za sheria zenu mnazo iga iga kwa mataifa yalivyo endelea wewe endelea nazo, Mimi Nina uishi uhalisia kabisa wA maisha ya watoto WA kiafrica