Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahaha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMada ambazo zinasema tusipewe hela.......kuna vivulana kila siku vinakuja kulialia hapa eti Oooh.....nimepigwa mzinga......mara oooh.....nimeletewa invoice......wanazuia hata wanaume wanaokojoa mbali kuzungumza na sisi babes.........
1. Usiwaulize kwann wanapenda kuomba hela.
2. Ukitongoza ukigundua mko 10 mpe zawadi ya hela maana anajua kutafta
3. Kila siku tongoza wa5 pm watakuona we kidume
4. Usimpinge #Lara 1 mpe ushirikiano mada zote
5. Ukiona mada inamuhusu Wema Sepetu changia +ve maana ni kioo chao. Ukioppose mi simo