Sitaki kupata watoto

Sitaki kupata watoto

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
 
iko hivi so far sijawai kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha naona wana shida tu. kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues. I will live my life. enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Vipi Baba yako na Mama yako wangekuwa wanafikiria unachowaza leo hii? Au ndio tukuite a "wasted sperm"?.
 
iko hivi so far sijawai kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha naona wana shida tu. kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues. I will live my life. enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Mwamba nina watoto wawili siku nikitia mguu home sitamani hata kurudi Mkoani. Hujajua raha ya kuwa na watoto aisee, yaani ile umeshuka home umepokelewa na ma-hug ya kutosha 🥰🥰 na nyimbo juu

Ukizaa na una shida za kutosha ndio hutapenda watoto
 
Mwamba nina watoto wawili siku nikitia mguu home sitamani hata kurudi Mkoani. Hujajua raha ya kuwa na watoto.
Ukizaa na una shida za kutosha ndio hutapenda watoto
Hata hao wenye shida za kufa mtu bado wanawapenda watoto wao mpaka kuwa tayari kufanya kazi za hatari na aibu ili watoto wao wawe salama.

Kwa kifupi mleta mada ana matatizo ambayo bado hajataka kuyaweka bayana ilo asaidiwe au yamkini alibambikiwa mtoto etc ila lazima ana ka history hakataka kukaweka waz kanako mfanya kuwa guilty
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Bado una akili za kitoto sana. Ukikua ndiyo utajua ulichokiandika ni a.k.a ya Young Africans Sport Club
 
Kataa ndoa, ila swala la mtoto that's highest level of selfishness.

Huwa nina imagine wazazi wangu wangesema wanataka mtoto mmoja tu? Mi nisingekuwepo. Au wangesema hawataki watoto.

Mkuu, kama kiuchumi uko vema, walete madogo duniani.
 
Back
Top Bottom