Sitaki kupata watoto

Sitaki kupata watoto

Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Pole sana.Lkn Uzuri,ni Kwamba siku zote,Majuto huwa ni mjukuu.Ngoja ufike uzeeni ndio uje na thread hii.
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
So kwako maisha ni starehe,basi.Dah,hujitambui kabisa.Maisha si starehe,wala kuwa na mali sio issue,maisha ni kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani(to extend God's Kingdom here on earth),ikiwa ni pamoja na agizo lake la kuijaza Dunia.Mungu ametuagiza hivi,"Nendeni mkaongezeke, muijaze Dunia." What does it mean,kama wewe hutaki kuoa na kuzaa watoto,you are going against God's plan,and there will be consequences.Naomba niseme hivi,sikutishi,lakini that is true,unless you are doing that voluntarily,ili umtumikie Mungu.

Mwisho,mawazo yako yanaonyesha kwamba ni mtu selfish sana.
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
[emoji28][emoji28]itakuwa hujafanya uchunguzi yakinifu katika hilo

Mbona wengine tuna enjoy tu maisha na familia zetu[emoji1739]
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Una matatizo ya uzazi. Nenda hospital ukatibiwe. Hao wenye watoto na hawana furaha wanapatikana wapi nchi hii?
 
So kwako maisha ni starehe,basi.Dah,hujitambui kabisa.Maisha si starehe,wala kuwa mali,maisha ni kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani(to extend God's Kingdom here on earth),ikiwa ni pamoja na agizo lake la kuijaza Dunia.Mungu ametuagiza hivi,"Nendeni mkaongezeke muijaze Dunia." What does it mean,kama wewe hutaki kuoa na kuzaa watoto,you are going against God's plan,and there will be consequences.Naomba niseme hivoing that voluntarily,ili umtumikie Mungu.
Yesu, paulo, yeremiah walizaa au kuwa na familia???

Mbona paulo mwenyewe anasema asiyeoa anafanya vema zaid...

Nafkr marriage and kids are optional... And not for everyone..
 
mtoa mada ana hoja ya msingi ila uwasilishwaje wake ni fikirishi, matusi yatamuhusu
 
Back
Top Bottom