Sitaki kupata watoto

Sitaki kupata watoto

Yesu, paulo, yeremiah walizaa au kuwa na familia???

Mbona paulo mwenyewe anasema asiyeoa anafanya vema zaid...

Nafkr marriage and kids are optional... And not for everyone..
Ni optional kama huoi kwa nia ya kumtumikia Mungu,wewe hutaki kuoa kwa kuwa unapenda starehe na upo selfish,that is wrong.
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Una kitu utafika mbali.
 
Subiri uzee ukikufika ndo utajua maana ya watoto
 
Aisee pole utakuwa na shida Mimi Sina lakini napenda mno watoto naomba Mungu anipe
Sikuhiz nasikia upweke Sana pia kukaa mwenyew nawaita watoto napiga nao story Raha sana aisee nyie wenye watoto Mungu awakuzie
To yeye
Antonnia
Watoto ni baraka kipenzi fanya wepesi upate hata wa kumuagiza/ kukupigisha kelele/ kukuongelesha masaa mengi dear!!!

Mtoto ni faraja kubwaaaa sana kiukweli!!
 
Mwamba nina watoto wawili siku nikitia mguu home sitamani hata kurudi Mkoani. Hujajua raha ya kuwa na watoto.
Ukizaa na una shida za kutosha ndio hutapenda watoto
hakuna watu tunaopedna watoto kama tusio na kitu!
 
Una matatizo mkuu kuwa na Watoto ni raha sana asikwambie mtu!!
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Unaweza usiwe na watoto na ukawa na liugonjwa likutese.

Huna mke wala watoto lkn ufukara ukakwandama.

Ok ishi upendavyo
 
Watoto ni baraka kipenzi fanya wepesi upate hata wa kumuagiza/ kukupigisha kelele/ kukuongelesha masaa mengi dear!!!

Mtoto ni faraja kubwaaaa sana kiukweli!!
Inshallah dear Yani nasubir iyo siku sijui itakuwaje Yani siku ya kwanza namshika mwanangu😍
Nimekaa na watoto kiukweli wanafariji wanachekesha,wanangamsha kwakweli mmebarikiwa sana,
 
Huo ni uamuzi wako. Hata siku ukiamua tena kubadili huo msimamo wako, bado hakuna wa kukupangia.
 
Sio kweli ila ukileta mtoto duniani na haujajipanga kulea huyo mtoto ndio yote hayo yatatokea.Kupanga ni kuchagua
 
Zamani nilikua nasema mimi Mke wangu hata asiponizalia FRESHI tuuuu si nampenda yeye

Miaka imeenda imesogea, Kosa vyote ila niletee mtoto "limbwata tosha'" la kupata attention yangu 24hrs

Hamna kitu tamu kama watoto,wanasema huwezi jua utamu wa 5star hotel kwasababu hujawahi ingia

utaona kila wanao ingia wanapoteza hela zao tu,siku utakapoonja kulala na huduma za 5 star hotel ndio utakapojua

kumbe duniani kuna maisha ulikua hujayaishi na kuyafikiria,Watoto n zaidi ya starehe oyote uijuayo chini ya JUA,trust me.
 
So kwako maisha ni starehe,basi.Dah,hujitambui kabisa.Maisha si starehe,wala kuwa na mali sio issue,maisha ni kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani(to extend God's Kingdom here on earth),ikiwa ni pamoja na agizo lake la kuijaza Dunia.Mungu ametuagiza hivi,"Nendeni mkaongezeke, muijaze Dunia." What does it mean,kama wewe hutaki kuoa na kuzaa watoto,you are going against God's plan,and there will be consequences.Naomba niseme hivi,sikutishi,lakini that is true,unless you are doing that voluntarily,ili umtumikie Mungu.

Mwisho,mawazo yako yanaonyesha kwamba ni mtu selfish sana.
Thatha mkuu huon kujaza watoto ambao huna uwezo wa kuwapa fyucha nao ni ubinafsi? Kile ndugu zake Ushimen wasukuma wanachofanya kuzaliana kama panya kule sio ubinafsi? Watoto wananuka umaskini unaona kabisa huyu mtoto fyucha hana unaona kabisa akifanikiwa ni muujiza wa bwana yesu
 
Inshallah dear Yani nasubir iyo siku sijui itakuwaje Yani siku ya kwanza namshika mwanangu😍
Nimekaa na watoto kiukweli wanafariji wanachekesha,wanangamsha kwakweli mmebarikiwa sana,
Mungu abariki kizazi chako dear Ni raha isio na kifani!
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
wewe una msongo wa mawazo uliochanganywa na ugonjwa wa afya ya akili. watu wanakula hata mavi ili wazae lakini wewe unatamka kabisa maneno hayo? tema mate chini. babako angekuwa alikuwa anapigaga puli, ulitakiwa kupigwa puli tu wewe.
 
Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.

I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Another sperm wasted
 
Back
Top Bottom